Kwanini Israel inapewa msaada wa kijeshi/ silaha na Marekani?

Israel ni kijitaasisi cha Marekani na Uingereza ambacho kilipachikwa mashariki ya kati kwa ajili ya kulinda masilahi ya Mataifa yao, hayo mengine ni ngonjera na tumba tu.
Makafiri hao dawa yao ipo jikoni, ipo siku yao
 
Acha ujinga wewe hiyo jamii imetapakaa ulaya kote na America hawapajui kwao wewe unashangaa Russia 🇷🇺 peke yake
Wewe ulibisha kwamba hamna wataalamu Urusi wenye asili ya Israel na nimekuthibitishia kwa ushahidi kwamba wapo kibao na sasa unazusha mengine ambayo hayakuwepo, sasa mimi na wewe nani mjinga..🤷🤷🤷🤷
 
Katika mambo ambayo yamekuwa yakieleweka vibaya, kukanganya na pia kuzua dhihaka kutoka kwa watu wasioipenda Israel ni pamoja na hili la kupewa misaada wa jeshi/ silaha na Marekani pamoja na kuwa ni nchi tajiri iliyoendelea.

Ni vizuri tujifunze na kuelewa mambo bila ushabiki, kuna sababu kadhaa muhimu Israel kupewa msaada na Marekani.

1. Kwanza karibia nchi zote duniani ikiwemo US huwa kwa kiasi fulani zinajiendesha kwa mikopo, kwa hiyo ikitokea unaweza kupata pesa za bure sehemu nyingine ni jambo la kufurahia na huwezi kuzikataa kwa sababu inakuwa umeepushwa kukopa na kuingia madeni. Israel wataendelea kuzipokea na kuzifurahia pesa za bure za US na Ulaya.

2. Taasisi za ushawashi za kutetea maslahi ya Israel "Jewish/ Israel lobby" huko Marekani ni mahiri sana, zenye ushawashi mkubwa kwa jamii kubwa ya Wamarekani na zinajua kusuka mipango na mikakati kupitia wanasiasa wa Marekani kuipatia Israel pesa. Wanaweza kushawishi matajiri kutofadhili kampeni za uchaguzi za baadhi ya wanasiasa wasiowakubali au kufadhili kampeni za wapinzani.

3. Marekani ni kama Inawalipa Israel zaidi badala ya msaada. Pesa inazowapa Israel ni zaidi ya msaada kwa sababu ina usemi na maamuzi makubwa katika biashara ya silaha ya Israel. Waisrael ni watu wenye akili sana kiteknolojia na wanaweza kushindana vikali na Marekani vikali katika utengenezaji wa Silaha za hali ya juu za kila aina. Wamarekani wasingependa kuona ushindani wa aina hiyo utakaopunguza faida kwa kampuni zao na pia hata kupelekea baadhi ya silaha kuangukia mikononi mwa adui zake kama Israel itaachwa huru kuuza vyovyote katika hiyo biashara na pia ikiwemo wanasayansi wake kununuliwa au kufadhiliwa na mahasimu kama Urusi, hiyo inayoitwa msaada ni sehemu ya gharama hiyo kuepusha hayo yasitokee.

4. Marekani inadumisha mshirika wa uhakika wa Mashariki ya kati. Katika Mataifa mengine yote ya Mashariki ya kati ambayo ni washirika wa Marekani Israel peke yake ndio haitegemewi kubadilika kuwa kinyume au adui wa Marekani wakati wowote.

5. Udini, Ukristo ulianzia Israel. Hii japo sio sababu ya msingi sana ila kuna Wamarekani wengi ambo wengine wako kwenye vyombo vya maamuzi wanaiona Israel ni sehemu muhimu katika dini yao.

6. Tamaduni na tunu(values) zinazoshabihiana kati ya Israel na West. Israel ni demokrasia imara yenye kuzingatia uhuru wa raia wake na uchumi unaoeendeshwa na soko. Hakuna nchi nyingine ya Mashariki ya kati inayokaribiana na West kama Israel.

7. Kujisikia vibaya "Guilty feeling" ya US/West kutokana na mauaji ya kiyahudi "holocaust" yaliyofanywa na Ujerumani pamoja na washirika wake kuelekea vita vya pili vya dunia. US na mataifa mengine kama Uingereza yanajiona hayakuwajibika vya kutosha wakati huo kupunguza au kuepusha kabisa.
Wewe jamaa kwa pumba tu haujambo. Alafu ata aibu hauoni😂😂
 
Wewe acha uongo wako tutajie hiyo jamii ya waisraeli inayotegemewa na urusi kwenye Teknolojia peleka umbea huko.
Halafu kuhusu teknolojia kuanza nchi kama za China , Iran na Korea nyamaza maana ndio hao wanaowajambisha waisraeli hivi sasa.
Leon Trotsky alikuwa Myahudi/Jew.
 
Wewe ulibisha kwamba hamna wataalamu Urusi wenye asili ya Israel na nimekuthibitishia kwa ushahidi kwamba wapo kibao na sasa unazusha mengine ambayo hayakuwepo, sasa mimi na wewe nani mjinga..🤷🤷🤷🤷
Sasa wewe kama siyo mpuuzi mbona hata marekani kuna wataalamu wa kitanzania wapo huko wanafanya kazi kwahiyo na sisi tujiiteje sasa ? Wewe una akili ndogo sana
 
Wewe acha uongo wako tutajie hiyo jamii ya waisraeli inayotegemewa na urusi kwenye Teknolojia peleka umbea huko.
Halafu kuhusu teknolojia kuanza nchi kama za China , Iran na Korea nyamaza maana ndio hao wanaowajambisha waisraeli hivi sasa.
George Koval aliiba teknolojia ya nuclear ya US Kutoka Manhattan project kuwawezesha Warushi kutengeneza bomu la nuclear la atomic kwa haraka zaidi
 
Wewe sasa naona umeanza kuleta mambo ya kihuni. Ebu tuletee orodha ya wataalamu hao wa kitanzania walioko Marekani tuone fani zao.
 
George Koval aliiba teknolojia ya nuclear ya US Kutoka Manhattan project kuwawezesha Warushi kutengeneza bomu la nuclear la atomic kwa haraka zaidi

March 18, 1965: Soviet Cosmonaut Alexei Leonov Becomes First Person To Walk In Space | F. Rewind - YouTube. March 18, marks the anniversary of the Russian Cosmonaut Alexei Arkhipovich Leonov who became the first human ever to walk in space.18 Mar 2023
1714418041119.png

YouTube › watch
 
Kwani israel ikipewa misaada na marekani nyie wafia dini inawauma nini ? Kwani ni pesa zenu mmechangishwa huko misikitini ? Mbona mnauchungu na pesa za marekani ila hamna uchungu na pesa za iran kusaidia magaidi wa hezbollah na hamas kufanya ugaidi
Wenzako wanajadili vitu kwa utashi wewe ulivyo mpuuzi umekuja na makasiliko yoote!!!K YA MAMA YOOOO
 
Ingia Google utawapata wapo NASA , Google vyuo vikuu vingi wapo maprofesa wakumwaga tu.
Tanzania hii ambayo watu wake bado wanakimbiza mwenge na ambao wanaamini kwamba pesa za maendeleo yao hazitokani na kodi zao bali hutolewa kwa hisani ya rais kutokana na mshahara wake.

Ebu tuwekee hiyo link ya google.
 
March 18, 1965: Soviet Cosmonaut Alexei Leonov Becomes First Person To Walk In Space | F. Rewind - YouTube. March 18, marks the anniversary of the Russian Cosmonaut Alexei Arkhipovich Leonov who became the first human ever to walk in space.18 Mar 2023
View attachment 2977056
YouTube › watch
Yes take note that, The Cosmonaut Alexei Leonov hakuwa mwarabu, muajemi wala muislam na kama angekuwa moja kati ya hao basi ni wazi hiyo akili asingekuwa nayo.
 
Katika mambo ambayo yamekuwa yakieleweka vibaya, kukanganya na pia kuzua dhihaka kutoka kwa watu wasioipenda Israel ni pamoja na hili la kupewa misaada wa jeshi/ silaha na Marekani pamoja na kuwa ni nchi tajiri iliyoendelea.

Ni vizuri tujifunze na kuelewa mambo bila ushabiki, kuna sababu kadhaa muhimu Israel kupewa msaada na Marekani.

1. Kwanza karibia nchi zote duniani ikiwemo US huwa kwa kiasi fulani zinajiendesha kwa mikopo, kwa hiyo ikitokea unaweza kupata pesa za bure sehemu nyingine ni jambo la kufurahia na huwezi kuzikataa kwa sababu inakuwa umeepushwa kukopa na kuingia madeni. Israel wataendelea kuzipokea na kuzifurahia pesa za bure za US na Ulaya.

2. Taasisi za ushawashi za kutetea maslahi ya Israel "Jewish/ Israel lobby" huko Marekani ni mahiri sana, zenye ushawashi mkubwa kwa jamii kubwa ya Wamarekani na zinajua kusuka mipango na mikakati kupitia wanasiasa wa Marekani kuipatia Israel pesa. Wanaweza kushawishi matajiri kutofadhili kampeni za uchaguzi za baadhi ya wanasiasa wasiowakubali au kufadhili kampeni za wapinzani.

3. Marekani ni kama Inawalipa Israel zaidi badala ya msaada. Pesa inazowapa Israel ni zaidi ya msaada kwa sababu ina usemi na maamuzi makubwa katika biashara ya silaha ya Israel. Waisrael ni watu wenye akili sana kiteknolojia na wanaweza kushindana vikali na Marekani vikali katika utengenezaji wa Silaha za hali ya juu za kila aina. Wamarekani wasingependa kuona ushindani wa aina hiyo utakaopunguza faida kwa kampuni zao na pia hata kupelekea baadhi ya silaha kuangukia mikononi mwa adui zake kama Israel itaachwa huru kuuza vyovyote katika hiyo biashara na pia ikiwemo wanasayansi wake kununuliwa au kufadhiliwa na mahasimu kama Urusi, hiyo inayoitwa msaada ni sehemu ya gharama hiyo kuepusha hayo yasitokee.

4. Marekani inadumisha mshirika wa uhakika wa Mashariki ya kati. Katika Mataifa mengine yote ya Mashariki ya kati ambayo ni washirika wa Marekani Israel peke yake ndio haitegemewi kubadilika kuwa kinyume au adui wa Marekani wakati wowote.

5. Udini, Ukristo ulianzia Israel. Hii japo sio sababu ya msingi sana ila kuna Wamarekani wengi ambo wengine wako kwenye vyombo vya maamuzi wanaiona Israel ni sehemu muhimu katika dini yao.

6. Tamaduni na tunu(values) zinazoshabihiana kati ya Israel na West. Israel ni demokrasia imara yenye kuzingatia uhuru wa raia wake na uchumi unaoeendeshwa na soko. Hakuna nchi nyingine ya Mashariki ya kati inayokaribiana na West kama Israel.

7. Kujisikia vibaya "Guilty feeling" ya US/West kutokana na mauaji ya kiyahudi "holocaust" yaliyofanywa na Ujerumani pamoja na washirika wake kuelekea vita vya pili vya dunia. US na mataifa mengine kama Uingereza yanajiona hayakuwajibika vya kutosha wakati huo kupunguza au kuepusha kabisa.
Hamas anapewa silaha na fedha toka Iran, mbona hujahoji hili?
 
Wewe acha uongo wako tutajie hiyo jamii ya waisraeli inayotegemewa na urusi kwenye Teknolojia peleka umbea huko.
Halafu kuhusu teknolojia kuanza nchi kama za China , Iran na Korea nyamaza maana ndio hao wanaowajambisha waisraeli hivi sasa.
Mbona magaidi mna hasira sana na Israel au ndio mnatimiza maandiko ya BIBLIA?maana hata russia(Putin)hawapendi anawaua daily lakini mnamshobokea.
 
Back
Top Bottom