Hata iweje tutalipenda taifa la Israel (taifa teule)

ward41

JF-Expert Member
Apr 3, 2022
417
1,487
Kuna Siri kubwa Sana Kati ya taifa la Israel na Ukristo. Ukweli ni kwamba wa Israel hawaupendi Ukristo na wanamkana Yesu Kristo. Wamekengeuka.

Ni ukweli usiopingika kwamba Ushoga Israel umeshamiri Sana.

Ni kweli wa Israel wanawanyanyasa Sana wa kristo. Wanafanya hayo kwa kutojuwa

Pamoja na hayo yote, Israel Kama taifa, limefichwa habari za Yesu Kristo na Mungu Mwenyewe. Hayo yote yameelezwa kwenye Biblia waziwazi.

Hapo mbele kidogo wa Israel watabadilika na kumkiri Yesu.
Sasahivi habari za Yesu tumefunuliwa mataifa mengine ndiyo maana Yesu anahubiriwa kwetu.

Shetani analijuwa hilo kwamba wa Israel watamkiri Yesu ndiyo maana anataka kuliangamiza. Shetani anatumia viongozi mbali mbali kutaka kuliangamiza taifa la Israel.

Cha ajabu, Mungu analitumia taifa la Marekani kulilinda taifa la Israel. Ndiyo maana Mungu analibariki Sana taifa la Marekani. Lina nguvu kubwa za kiuchumi na kijeshi.

Ukiwa unashiriki kuliombea taifa la Israel, unafanya kazi ya Mungu. Utabarikiwa

Na hayo ndiyo maagizo ya Mungu. Tuacheni na Israel Yetu. Ni Mambo ya ndani, sio rahisi mukaelewa
 
Nilisoma kuhusu Zionist antisemitism. Kuna watu wanawachukia mno mayahudi lakini wanaliunga mkono taifa la kizayuni. Na wakati mwengine wanaliunga mkono taifa hilo kwa kusukumwa na chuki kwa mayahudi. Wakati dola la kizayuni linaundwa katika ardhi ya Palestine, baadhi ya waliounga mkono kuundwa taifa hilo ni watu wenye chuki kwa mayahudi na ambao wanataka mayahudi waondoke kwenye nchi zao (hasa Ulaya) waende mashariki ya kati. Yaani ni kama wanataka kuondoa kero kwao kuipeleka kwa waarabu na waislam.

Kuna wakristo katika nchi za kimagharibi ambao wanaliunga mkono taifa la kizayuni lakini hawawapendi mayahudi, wanaliunga mkono kwa sababu wanaaamini kukusanyika kwa mayahudi katika mashariki ya kati kutaharakisha kuja kwa Yesu ambapo watapigana na mayahudi na wengine na kuwalazimisha kuwa wakristo.

Wakati nasoma uzi huu nikakumbuka hicho kitu.

Ukisoma Zionist antisemitism utaelewa huu upendo wa kinafiki kwa mayahudi na taifa la kizayuni, kuwa imekuwaje tena wakati "ndugu" zao walikuwa wakiwachinja miaka yote halafu ghafla wanaanza kuwapenda!

Na mazayuni wa kiyahudi pia wanawatumia hao hao wanaowachukia kwa maslahi yao na wakijua kuwa mazayuni wa kimagharibi hawawapendi. Mazayuni wa kiyahudi wanawatumia na kuwaunga mkono mazayuni wa kimagharibi na wengine na ilhali wanajua kuwa wao (mayahudi) sio wakweli na wanawajaza tu wenzao lakini wanawaunga mkono kwa sababu wana faida katika malengo yao ya kizayuni. Na mayahudi wanaamini kabisa masihi wao (wa uongo) hatokuja mpaka ulimwengu wa kikristo uanguke. Na wakipata nguvu wakristo watahukumiwa na kuuawa kwa kosa la upagani.

Allah awanusuru ndugu zetu ambao wamepata mtihani wa kunasa katikati ya vitimbi vya "ndugu" hawa wawili wanaochukiana mno lakini wanatumiana kwa gharama ya damu za ndugu zetu.

Ukiwaangalia juu juu kama wanapendana kweli vile.
 
wewe ni bwege hayo mayahudi walimkataa huyo unaemuita yesu toka wakiwanae,yani wanamuona na wakamkataa na hata aliemuhumuku hata hakuwa pilato bali alinawa mikono yake! na hiyo miyahudi ikasema damu ya huyo yesu iwe juu yao!.
huyo Kristo walimkataa kitambo Tu ndio maana alisurubiwa na huo ukristo hawaujui pia msiwalazimishe!.
tokeni kwenye fikra zakusema kuna taifa takatifu na watu watakatifu,piganieni zao zenu,utaifa wenu na mambo yenu,piganieni uchumi na maendeleo yenu acheni kuhangaika na tamaduni za watu
 
Sio Israel hii ya sasa ya mazayuni hawa mafreemasoni na mashoga. Ni Israel ya kale
.trashed-1716218475-images (1) (12).jpeg
 
Screenshot_20240405-205414~2.png
 
wewe ni bwege hayo mayahudi walimkataa huyo unaemuita yesu toka wakiwanae,yani wanamuona na wakamkataa na hata aliemuhumuku hata hakuwa pilato bali alinawa mikono yake! na hiyo miyahudi ikasema damu ya huyo yesu iwe juu yao!.
huyo Kristo walimkataa kitambo Tu ndio maana alisurubiwa na huo ukristo hawaujui pia msiwalazimishe!.
tokeni kwenye fikra zakusema kuna taifa takatifu na watu watakatifu,piganieni zao zenu,utaifa wenu na mambo yenu,piganieni uchumi na maendeleo yenu acheni kuhangaika na tamaduni za watu
FB_IMG_1700665386000.jpg
 
Back
Top Bottom