Kwanini huwa Sichoki Kusikiliza Nyimbo hizi Tamu mbili za Wenge Musica BCBG yake JB Mpiana?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,935
109,731
1. Liberation
2. Serge Palmi

Kama Wewe ni Mpenzi wa Miziki ya Congo DR hasa Bendi yangu pendwa na tukuka ya Wenge Musica BCBG yake JB Mpiana na hujazisikiliza hizi Nyimbo Mbili Tamu katika Album ya TITANIC basi una bahati mbaya na hupaswi kuwa Mdau wa Congolese Music.

Na Utamu zaidi wa hizi Nyimbo huko mbele katika Sebene lake Mwalimu wa Marapa ( Atalakus ) wengi wa Kizazi cha Kati na hiki ( Pitshou Lisimo a.k.a GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE akiwemo ) aitwae Tutu Caludji ( Yombo Lumbu ) amefanya Kazi Kubwa mno ya Kughani ( Atalaku ) na huwezi Kukaa bila Kuamka na Kuserebuka ( Kucheza )

Wakongo Shikamooni kwa hii Miziki.
 
Back
Top Bottom