Haya wale Bana Wenge BCBG Wenzangu hapa JamiiForums mmeshasikiliza Wimbo mpya unaotamba sasa Congo DR wa JB Mpiana uitwao ZEBUKA?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
57,134
110,489
Ama hakika kwa Wimbo huu na hasa ulivyo Mtamu na unavyochangamsha hata Kuucheza JB Mpiana kaamu kufanya Kweli. Unaambiwa sasa iwe ni Congo DR au Congo Brazaville au Angola au Cameroon au Zambia au Ufaransa au Ubelgiji au Marekani ( hasa Mji wenye Wakongo wengi wa Dallas ) au Rwanda na Burundi habari ya Mjini ni huu Wimbo mpya na wenye Style mpya ya Kucheza wa ZEBUKA.

Humo Atalaku au Mghani au Kizungu mnawaita Rappers na kwa Kifaransa wanaitwa Animateurs Mwamba kabisa GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE ( majina halisi Pitshou Lisimo ) kafanya Balaa Kubwa kama kawaida yake na ndiyo maana sasa anaheshimika kama Champion Le Animateur du Congo DR ( yaani Rapa Bingwa Congo DR ) kutokana na kujua Kutunga maneno na Kucheza kwa Ustadi'

Pia Atalaku ( Mghani ) huyu GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE katika huu Wimbo Gumzo sasa uitwao ZEBUKA ambao upatikana katika Album ya BALLE DE MATCH kasaidiwa vyema sana na Wasaidizi wake Wawili akina Pajo na Fusse De Guere ( Kombora la Vita ) huku Gitaa la Solo likikung'utwa vyema kabisa na Veteran Guitarist Ficarre Mwamba a.k.a wanamuitwa Mitre ( wakimaanisha Mwalimu ) wa Wapiga Magitaa Congo DR.

Hata hivyo kwa Masikitiko makubwa baada ya Kuutoa Wimbo huu wa ZEBUKA Bendi ya Wenge BCBG imepata Pigo Kubwa sana la Kuondokewa na Dancer wake maaufu sana wa Kiume ambaye amekuwa Kivutio Kikubwa kila waendako aitwae Mulala Djo Muloxy ambaye alifariki ghafla. R.I.P Kwake Dancer Mulala Djo hakika umeacha Pengo Kubwa Bendini na ndiyo maana hata JB Mpiana kakulilia sana Msibani.

Kwa wale Bana Wenge BCBG Wenzangu JF tafadhali nendeni YouTube ili mkauone huu Wimbo mtamu wa ZEBUKA.
 
Genta leta kionjo
 
GENTA DEMU WAKO WA UGANDA ANAKUACHA MPAKA SASA UPO JF? Una demu kweli wewe au domo zege?
 
Tunao huu wimbo yapata mwaka sasa, hii nyimbo pale pariii(paris, france ni moto)
Wanasema tuwachie makazi na wengine.
Wenge brothers, nyimbo champagne inashuka, L'artiste préféré des hommes d'affaires (Businessman). tout Businessman qui se reconnaît dans ce chef-d'œuvre de JB mettez un pouce c'est la frappe Big'up.

Huyu JB ni simba, usimuamshe siimba aliyelala. Akiwasha Moto watoto wadogo wote kimya.
 
Bila kideo ni umbea mbea
 
Genta wimbo huo upo kwenye album ya Balle de match iliyotoka 24 December 2022!
 
Ila ukweli hii album si kali kivile, ina baadhi ya nyimbo za kawaida sana......kwa kifupi hakuna jipya. Na hivi karibuni JB Mpiana kashutumiwa na msichana wake (dancer) aliyembaka akiwa na miaka 9 miaka ya nyuma. Huko Congo DRC na sehemu zingine duniani zitaomba serikali ya Congo kumkamata JB na kumfunga.
 
Genta leta kionjo
Ayayaaaa......bine.........Sebuka......eeeeeeeee Ayayaaaa.....bine............Sebuke.........eeeeeeeeh ebwana umeshanipa Mzuka tena ngoja niupige hapa nilipo Niserebuke nao. Shikamoo Papa Cherie JB Mpiana kwa huu Wimbo mtamu na unaochezeka wa Zebuka.
 
Tunao huu wimbo yapata mwaka sasa, hii nyimbo pale pariii(paris, france ni moto)
Wanasema tuwachie makazi na wengine.
Wenge brothers, nyimbo champagne inashuka, L'artiste préféré des hommes d'affaires (Businessman). tout Businessman qui se reconnaît dans ce chef-d'œuvre de JB mettez un pouce c'est la frappe Big'up.

Huyu JB ni simba, usimuamshe siimba aliyelala. Akiwasha Moto watoto wadogo wote kimya.
Miswahili na Minafiki utaijua tu. Sasa kama ulijua / mliujua huu Wimbo upo Kitambo kwanini hukuuleta hapa JF kwa Sisi Bana Wenge BCBG na umesubiria hadi Mimi Kuupromoti hapa kwa Wadau ndiyo unajifanya kuwa ulikuwa unaujua Kitambo? Haya Kwangu Mimi hata kama huu Wimbo ulitoka mwaka 1961 Kipindi cha Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere Kwangu Mimi nauona ni Mpya na tena hapa sasa ndiyo naupiga na Naucheza kweli kweli huku nikiwa nakuandikia hii Post.
 
Popoma huu wimbo una zaidi ya mwaka toka uachiwe. Uko nyuma ya muda ndugu Popoma.
Miswahili na Minafiki utaijua tu. Sasa kama ulijua / mliujua huu Wimbo upo Kitambo kwanini hukuuleta hapa JF kwa Sisi Bana Wenge BCBG na umesubiria hadi Mimi Kuupromoti hapa kwa Wadau ndiyo unajifanya kuwa ulikuwa unaujua Kitambo? Haya Kwangu Mimi hata kama huu Wimbo ulitoka mwaka 1961 Kipindi cha Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere Kwangu Mimi nauona ni Mpya na tena hapa sasa ndiyo naupiga na Naucheza kweli kweli huku nikiwa nakuandikia hii Post.
 
Genta wimbo huo upo kwenye album ya Balle de match iliyotoka 24 December 2022!
Miswahili na Minafiki utaijua tu. Sasa kama ulijua / mliujua huu Wimbo upo Kitambo kwanini hukuuleta hapa JF kwa Sisi Bana Wenge BCBG na umesubiria hadi Mimi Kuupromoti hapa kwa Wadau ndiyo unajifanya kuwa ulikuwa unaujua Kitambo? Haya Kwangu Mimi hata kama huu Wimbo ulitoka mwaka 1961 Kipindi cha Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere Kwangu Mimi nauona ni Mpya na tena hapa sasa ndiyo naupiga na Naucheza kweli kweli huku nikiwa nakuandikia hii Post.
 
Ila ukweli hii album si kali kivile, ina baadhi ya nyimbo za kawaida sana......kwa kifupi hakuna jipya. Na hivi karibuni JB Mpiana kashutumiwa na msichana wake (dancer) aliyembaka akiwa na miaka 9 miaka ya nyuma. Huko Congo DRC na sehemu zingine duniani zitaomba serikali ya Congo kumkamata JB na kumfunga.
Mishabiki Mipumbavu ya Koffi Olomide utaijua tu kwani kamwe haijawahi kuacha Kumchukia Le Charismatique JB Mpiana. Kuhusu hiyo Kashfa nadhani kwa Watu wanaomjua JB Mpiana vyema hasa Wakongo wenyewe wakikusikia Unasema kuwa Kabaka watakushangaa na kukuona bonge la Taahira.

Kwa taarifa yako tu sasa Congo DR nzima kwa Wanamuziki Wakubwa wote anayejulikana kuwa ndiyo Mbakaji wa Dancers wake na mpaka sasa Jina lake la Utani anaitwa Mbakaji Tajiri ni Koffi Olomide. Mpaka hivi sasa Koffi Olomide ameshakuwa na Kashfa hizi na kwenda Mahakamani zaidi ya mara Nne ( 4 ) je, umeshawahi kusikia JB Mpiana akishtakiwa hivi?

Na hakuna Mwanamuziki Congo DR ambaye anasifika kwa Uaminifu katika Mahusiano yake kama JB Mpiana na ndiyo maana hata Mkewe Shatur ambaye baadae aliporwa na Tajiri Mkubwa wa Congo DR kipindi nadhani ni Didi Kinuani ( kama sijakosea ila mtakaokumbuka vyema mtanirekebisha ) kisha na huyu Tajiri nae akaporwa huyu Mwanamke Membo ( aliyezaa Mtoto Mmoja na JB Mpiana wa Kike aitwae Suraiya ) na aliyekuwa Rais wa Congo DR Joseph Kabila ilipelekea karibi JB Mpiana Kuchanganyikiwa na hata kutaka Kujiua.

Na kisa kikubwa na hata JB Mpiana kutunga Wimbo wake wa Rhumba ambao haujavunja Rekodi ya Kupendwa Congo DR nzima hadi hii Leo ya OMBA ni kumuimba huyu Mkewe Shatur na ndiyo maana kila mara JB Mpiana akiupiga huu Wimbo huwa analia au kutokwa na Machozi kwani aliuimba kwa Hisia zote kabisa na akimaanisha hasa.

Na kukuonyesha kuwa JB Mpiana ni Mwaminifu na hana tabia ya Uhuni kama aliyonayo Koffi Olomide ni kwamba JB Mpiana pamoja na Kuporwa huyo Mwanamke na huyo Tajiri pamoja na aliyekuwa Rais wa Congo DR Joseph Kabila bado tu aliendelea kufanya jitihada na Kumrudisha na hadi hivi sasa GENTAMYCINE nakuandikia hii post huyo Mkewe Mrembo hasa Shatur amesharudiana na JB Mpiana na Maisha yao yanaendelea vyema huku akiwa ameshamzalia Mtoto mwingine wa Kiume aitwa Junior na JB Mpiana hupenda sana kuwataja hawa Watoto wake Suraiya na Junior katika Nyimbo zake nyingi nyingi tu.

Huyo Dancer unayemtaja namjua atakuwa ni Shakira au jina la Utani ni Brinette Mwasi Kitoko ( maana ya Mwasi Kitoko ni Binti Mzuri ) ambaye ni kweli JB Mpiana alimuibua akiwa mdogo na Kumtmbulisha katika Bendi yake huku akimtumia katika Shows zake mbalimbali Afrika na Ulaya hadi na Marekani. Ushindani wa Dancers wa Congo DR ni kama katika TImu za Mpira wa Miguu hivyo kilichomgharimu huyu Dancer Shakira ni Kujisahau na kujiona hana Mpinzani Kundini wakati kumbe wapo Dancers wengine Mafundi kumzidi kama akina Queen Mada, Nina, Virginie na Igret Montreal a.k.a Yeti Muyeti ambao hawana masihara katika Kazi.

Baada ya kuwekwa pembeni katika Shows za JB Mpiana na Bendi yake ya Wenge BCBG huyu Dancer Shakira akakasirika kwani ukiwa hupati Shows au hauko katika Ratiba za Showa za Bendi hata Malipo yako yanapungua na hata Safari za Ulaya au Nje ya Nchi nazo zinapungua na Posho Kubwa za huko hupati tena. Hivyo Maadui wa JB Mpiana wakiongozwa na Koffi Olomide walivyojua Shakira amekumbwa na balaa hili ndani ya Wenge BCBG wakaamua Kumchukua na Kumpandikiza maneno ya Kumchafua JB Mpiana ili JB Mpiana aogope na amudishe Kundini lakini kuonyesha kuwa JB Mpina anajiamini na anajua anachokifanya bado kaendelea Kumkazia na kamtaka wakutane Mahakamani kama kweli ana Ushahidi wa hayo Madai yake.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE Rais wa Kudumu wa wana Wenge BCBG hapa JamiiForums. Asante JB Mpiana kwa ZEBUKA.
 
Back
Top Bottom