Kwa yeyote anayehitaji Chef nipo hapa

Naitwa Samwel Mayala Ninaishi chanika Dar es salaam
Mimi ni mpishi mwenye uzoefu wa miaka 19 kwenye tansinia ya hotel
Ninauwezo wa kupika chakula Cha kichina,kihindi pamoja na chakula Cha kizungu
Kwa mawasiliano zaidi nipigie
0744054228/0657642225
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom