Gharama zako sh ngapi?Yes kunihitaji nakuja napika unanilipa Kwa maana Kwa Sasa Sina kazi
kumfundisha mke wangu mapishi ya kizungu bei gani?Habari za Jumapili,
Kwa yoyote anayehitaji chef tuwasiliane 0744054228/0657642225
Sawa mkuu. Iweke pale juu kwenye tangazo lako basi.Yes kunihitaji nakuja napika unanilipa Kwa maana Kwa Sasa Sina kazi
Natak iwe weekend ili namimi niwepoNi maelewano ndugu
Nadhani hatutashindwana
Upo sehemu Gani
Hata kesho ninaweza kuanza
Niko UbungoNi maelewano ndugu uko maeneo Gani
Kesho sio weekend, ntakutafta weekendOk sawa basi waweza nielekeza kesho nikaja