Habari za Jumapili,
Kwa yoyote anayehitaji chef tuwasiliane 0744054228/0657642225
Kwani chef yenyewe ni nini mbn siijui🤔Habari za Jumapili,
Kwa yoyote anayehitaji chef tuwasiliane 0744054228/0657642225
Una elimu gani mkuu?Kwani chef yenyewe ni nini mbn siijui🤔
😂😂😂Labda nimeelewa kitu kingine elim yangu ya viduduUna elimu gani mkuu?
👍😂Elimu yangu kidato Cha nne Ila uzoefu wa kupika miaka 19
Una wenge,sijakuuliza weweElimu yangu kidato Cha nne Ila uzoefu wa kupika miaka 19
Hongera sana,naamini kusoma na kuandika kuswahili fasaha unajua😂😂😂Labda nimeelewa kitu kingine elim yangu ya vidudu
kuswahili ndio lugha gani?? MkuuHongera sana,naamini kusoma na kuandika kuswahili fasaha unajua
😂😂😂😂Thawa kwakwerHongera sana,naamini kusoma na kuandika kuswahili fasaha unajua
Indian cuisine chef cooker is needed urgently cv paulnonga.pn@gmail.comHabari za Jumapili,
Kwa yoyote anayehitaji chef tuwasiliane 0744054228/0657642225
WAPISHI ✅Habari za Jumapili,
Kwa yoyote anayehitaji chef tuwasiliane 0744054228/0657642225
Chef ni mpishi yaaani mmbobezi wa mambo yote ya jikoniKwani chef yenyewe ni nini mbn siijui🤔