Kufungiwa huduma ya internet gharama zake zipoje?

Sea Beast

JF-Expert Member
Aug 5, 2022
1,899
4,071
Maswali yangu

1) Ni Kampuni gani inaweza kunitungia Fibre au huduma ya internet kwangu ambayo Ni affordable zaidi

2) Je, kifurishi au package kwa mwezi inakuwaje

3) Je, idadi ya watumiaji ikiwa kubwa speed itaoungua ya internet mfano watu 5 hivi

MSaada tafadhali
 
Njoo TTCL mzee baba. Inategemea unataka COPPER au FIBER?
Kama ni Fiber bei ni kama ifuatavyo;
20/10 Mbps ni 55k
40/20 Mbps ni 100k
60/30 Mbps ni 150k
100/50 Mbps ni 200k

UFUNDI ni Bure na utafuatwa mpaka hapo ulipo.
KUhusu vifaa inategemea kama una haraka nunua kama unasubiria ni sawa.
 
Hiyo gharama ni kwa mwezi au kwa siku?
 
Njoo TTCL mzee baba. Inategemea unataka COPPER au FIBER?
Kama ni Fiber bei ni kama ifuatavyo;
20/10 Mbps ni 55k
40/20 Mbps ni 100k
60/30 Mbps ni 150k
100/50 Mbps ni 200k

UFUNDI ni Bure na utafuatwa mpaka hapo ulipo.
KUhusu vifaa inategemea kama una haraka nunua kama unasubiria ni sawa.
TTCL wababaishaji nyie, unless otherwise muwe mmebadilika sikuizi.

Niliwafuata Mwaka Jana, wakaja na kufanya Survey gharama zake zikawa karibia Milioni 4 (installation).

Nahapo nataka kuvuta, Mikocheni B karibu kabisa na Ofisi zao za Kijitonyama.
 
Now ni FREE!
Kuanzia survey mpaka ufundi. Nitumie mawasiliano yako na eneo unalotaka kuja kufungiwa hiyo huduma.
 
Njoo TTCL mzee baba. Inategemea unataka COPPER au FIBER?
Kama ni Fiber bei ni kama ifuatavyo;
20/10 Mbps ni 55k
40/20 Mbps ni 100k
60/30 Mbps ni 150k
100/50 Mbps ni 200k

UFUNDI ni Bure na utafuatwa mpaka hapo ulipo.
KUhusu vifaa inategemea kama una haraka nunua kama unasubiria ni sawa.
Vifaa ni kipi na kipi na jumla hivyo Vifaa itanigharimu kihasi gani
 
Back
Top Bottom