Kufungiwa huduma ya internet gharama zake zipoje?

Njoo TTCL mzee baba. Inategemea unataka COPPER au FIBER?
Kama ni Fiber bei ni kama ifuatavyo;
20/10 Mbps ni 55k
40/20 Mbps ni 100k
60/30 Mbps ni 150k
100/50 Mbps ni 200k

UFUNDI ni Bure na utafuatwa mpaka hapo ulipo.
KUhusu vifaa inategemea kama una haraka nunua kama unasubiria ni sawa.

Mawasiliano yako kaka au ya huduma kwa wateja naomba
 
Back
Top Bottom