Gereji ipi wanatoa huduma ya 'vinyl wrapping' kwa hapa Bongo na gharama zake zipoje?

Kapepo

JF-Expert Member
Aug 14, 2015
1,063
1,188
Habari wadau,

Naomba kujua gereji ipi wanatoa huduma hii kwa hapa Bongo na je gharama zake zipoje nimetokea kuvutiwa nataka nifanye kwenye gari yangu.

1687785498235.png
 
Back
Top Bottom