maana nimewahi shudia jamaa mmoja alikamatwa na askari polis akiwa amepaki gari yake na bibie wanakula mavitu na wakapelekwa polis kufungulia charge.
Sio uchafu....Hiyo sawa na kufanya mapenzi hadharani,
Lakini kwenye gari ni uchafu
maana nimewahi shudia jamaa mmoja alikamatwa na askari polis akiwa amepaki gari yake na bibie wanakula mavitu na wakapelekwa polis kufungulia charge.
Sio uchafu....
Labda hizo sheria na hadhara zake....what if tinted? I mean legally.
Kufanya mapenzi hadharani ni kosa...kama Gaijin alivyoeleza, inaegemea na mazingira!
Kama gari lipo sehemu ambayo ni public place, hilo ni kosa na mnastahili adhabu ya kifungo
Kosa si kufanya mapenzi kwenye gari, kosa ni hilo gari lipo wapi.
Unaweza kufanya mapenzi kwenye gari ndani ya fensi ya nyumba yako, na ukawa hujatenda kosa kisheria
Hiyo sawa na kufanya mapenzi hadharani,
Lakini kwenye gari ni uchafu
Lakini kwenye gari ni uchafu
Kosa si kufanya mapenzi kwenye gari, kosa ni hilo gari lipo wapi.
Unaweza kufanya mapenzi kwenye gari ndani ya fensi ya nyumba yako, na ukawa hujatenda kosa kisheria
sawa kabisa.kosa si kufanya mapenzi kwenye gari, kosa ni hilo gari lipo wapi. Unaweza kufanya mapenzi kwenye gari ndani ya fensi ya nyumba yako, na ukawa hujatenda kosa kisheria
Mwalimu unaweza kunipatia maana ya hadhara?
Kwamba ukiwa ndani ya uzio wako sio hadhara, regardless of what?
Kwamba legally, hadhara ni 'public'?
Inategemea na mahali gari ilipo....maana nimewahi shudia jamaa mmoja alikamatwa na askari polis akiwa amepaki gari yake na bibie wanakula mavitu na wakapelekwa polis kufungulia charge.
hi SL...nimekumiss, naona ndiyo unaamka! how is ur day?Inategemea na mahali gari ilipo....
Hi too Rejao..... Niko poa kabisa, mie pia nimekumiss sana, siku hizi mbona twapishana sana?hi SL...nimekumiss, naona ndiyo unaamka! how is ur day?
Nakuwa tit sana...but leo nimejitahidi kuwepo muda mrefu...wewe leo hujaonekana kabisaHi too Rejao..... Niko poa kabisa, mie pia nimekumiss sana, siku hizi mbona twapishana sana?
Pole kwa kubanwa, naamini ni kwa wema! Mimi pia nilikuwepo sema sio kivile, afu siku hizi nimekuwa na tabia ya kuishia chit chat, labda ndio mana hatukutani...Nakuwa tit sana...but leo nimejitahidi kuwepo muda mrefu...wewe leo hujaonekana kabisa