Edsger wybe Dijkstra
JF-Expert Member
- Aug 22, 2019
- 240
- 464
Mtu akiwa na mahusiano na mwanafunzi na wakashiriki ngono bila kutokea mimba je adhabu yake inakuaje?
Maana kesi zote nilizoskia adhabu ya miaka 30 inatolewa pale tu binti anapopata mimba , je asipopata mimba ila ikathibitima kufanya ngono inakuaje?