Kufanya mapenzi/ngono kwenye gari yako ni kosa kisheria?

chopincho

Member
Dec 27, 2011
25
2
Maana nimewahi shudia jamaa mmoja alikamatwa na askari polisi akiwa amepaki gari yake na bibie wanakula mavitu na wakapelekwa polisi kufungulia charge.
 
maana nimewahi shudia jamaa mmoja alikamatwa na askari polis akiwa amepaki gari yake na bibie wanakula mavitu na wakapelekwa polis kufungulia charge.

Hiyo sawa na kufanya mapenzi hadharani,
Lakini kwenye gari ni uchafu
 
maana nimewahi shudia jamaa mmoja alikamatwa na askari polis akiwa amepaki gari yake na bibie wanakula mavitu na wakapelekwa polis kufungulia charge.

mkuu inaonekana ndiyo mchezo wako huo vipi??
Walikufumania pande zipi unakula mambo??
 
Sio uchafu....
Labda hizo sheria na hadhara zake....what if tinted? I mean legally.

Kama ni tinted gari ikitikisika na watu wakaona gari linacheza kiIdd Amin na wakathibitisha pasipo shaka ni kosa kisheria.
 
Kufanya mapenzi hadharani ni kosa...kama Gaijin alivyoeleza, inaegemea na mazingira!
Kama gari lipo sehemu ambayo ni public place, hilo ni kosa na mnastahili adhabu ya kifungo
 
Kufanya mapenzi hadharani ni kosa...kama Gaijin alivyoeleza, inaegemea na mazingira!
Kama gari lipo sehemu ambayo ni public place, hilo ni kosa na mnastahili adhabu ya kifungo

Au unawatoa wafanye mbele za watu wakiwashuhudia wao si wanajidai wananyege sana
 
Kosa si kufanya mapenzi kwenye gari, kosa ni hilo gari lipo wapi.

Unaweza kufanya mapenzi kwenye gari ndani ya fensi ya nyumba yako, na ukawa hujatenda kosa kisheria

I second you G. Kbs wengine watajidai ni ucku, hatuonekani..... kwani public place ina ucku au mchana? Mwisho wa siku its illegal, immoral, unethical, na inadhihirisha unyama na uchafu wa binadamu......
 
Kosa si kufanya mapenzi kwenye gari, kosa ni hilo gari lipo wapi.

Unaweza kufanya mapenzi kwenye gari ndani ya fensi ya nyumba yako, na ukawa hujatenda kosa kisheria

Mwalimu unaweza kunipatia maana ya hadhara?
Kwamba ukiwa ndani ya uzio wako sio hadhara, regardless of what?
Kwamba legally, hadhara ni 'public'?
 
Mwalimu unaweza kunipatia maana ya hadhara?
Kwamba ukiwa ndani ya uzio wako sio hadhara, regardless of what?
Kwamba legally, hadhara ni 'public'?

Ukiwa ndani ya uzio wako hauko hadharani tena. Hadhara ni sehemu ya wazi ambayo kila mtu anaweza kuona lolote lile linalofanyika.
 
Nakuwa tit sana...but leo nimejitahidi kuwepo muda mrefu...wewe leo hujaonekana kabisa
Pole kwa kubanwa, naamini ni kwa wema! Mimi pia nilikuwepo sema sio kivile, afu siku hizi nimekuwa na tabia ya kuishia chit chat, labda ndio mana hatukutani...
 
Back
Top Bottom