Rejao
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 9,220
- 4,060
Afadhali tusiwe tunakutana kwingine...natamani mimi na wewe tuwe tunakutana tu Chit Chat na MMU...but kule kwingine nooooooooooooooo!!!!Pole kwa kubanwa, naamini ni kwa wema! Mimi pia nilikuwepo sema sio kivile, afu siku hizi nimekuwa na tabia ya kuishia chit chat, labda ndio mana hatukutani...