Tofauti ya Kufanya mapenzi, kujamiiana na ngono

Zemanda

JF-Expert Member
Jan 10, 2021
6,625
13,879
Watu huchanganya sana matumizi sahihi ya haya maneno ambayo hutumika kumaanisha ujumbe tofauti though huonyesha jambo lile lile.

Kitendo cha mwanaume na mwanamke kuvuliana nguo na kuingiliana huonekana ni kile kile katika mazingira yoyote yatakayomkutanisha mwanamke na mwanaume maeneo yao yatakayowalazimu kufanya wanachofanya ila maana huwa na jina tofauti kulingana na mahari na lengo la kufanya.

1. KUFANYA MAPENZI: ni kitendo halali cha wanandoa yaani mwanaume na mwanamke kuingiliana kimwili kwa lengo moja tu la kusisimua sensitive parts za mwili ili kuleta raha na kuufanya mwili kurelax na kubalance utulivu wa akili kwa muda mrefu usio kadirika kulingana na uwezo wa kuhimili misisimuko hiyo.

Lengo la kufanya mapenzi ni kutafuta amani ya akili, mwili na roho baina ya pande mbili na kupunguza tension ya akili sawa sawa na mtu anayetumia kilevi kama pombe au Heroin kutuliza mawenge ya maisha. Ndio maana starehe ya mwanaume masikini ni kufanya sana mapenzi au kunywa mataputapu. Kufanya mapenzi ni kitendo halali na kina baraka za mwenyezi MUNGU kwa wanandoa tu.

2. KUJAMIIANA: Ni kitendo halali cha wanandoa yaani mwanaume na mwanamke kuingiliana kimwili kwa lengo moja tu la kupata watoto kwaajiri ya kuendeleza uzao wao ndani ya muda mfupi uziozidi dakika 10. Tendo hili pia huwa na msisimko kama kufanya mapenzi ila tofauti yake ni kuwa lengo haliwi kuburudishana bali ni mwanaume kuachia manii /mbegu zake kwa wakati mzuri au sahihi au muafaka kwa mwanamke kuzitumia kurutubishia mayai yake na kiweza kushika ujauzito.

Tendo hili pia ni halali kwa wanandoa tu na lina baraka zote za mwenyezi MUNGU.

3. KUFANYA NGONO: ni kitendo haramu au batili cha uasherati na uzinifu baina ya Mwanaume na mwanamke, au mwanaume na mwanaume mwenzake au mwanamke na mwanamke mwenzake, au mwanaume na kundi la wanawake, au mwanamke na kundi la wanaume kwa lengo la kutimiza au ridhisha mihemuko ya ashiki za kitamaa zinazopelekesha mwili.
Ngono huusisha kuingiliana kwa njia za kawaida yaani uke na uume, kuingiliana kinyume na maumbile yaani uume na njia ya haja kubwa, kuingiliana kwa njia za vinywa yaani mwanaume au mwanamke kunyonya na kulamba uume au uke wa mwenzake, au mwanaume na mwanaume kunyonyana uume, au wanawake kwa wanawake kunyonyana uke.
Pia uhusisha matumizi ya viungo bandia kama mpingo, dildo, na vibrators, matumizi ya dawa za kuongeza msisimko. Huhusisha pia kutazama na kuigiza mitindo ya kwenye video za kingono ambayo maudhui yake huwa ni kuhamasisha ngono.

Pia katika ngono ndipo kuna vitendo kama ubakaji, ulawiti, na kuingilia watoto wadogo chini ya umri halali wa kushiriki vitendo vya kimwili.

Tendo la Ngono ni batili na sio halali kwa mujibu wa kanuni za afya, pia ni kinyume na maagizo ya mwenyezi MUNGU na halina baraka zake. Ngono ndio chanzo kikubwa cha maradhi mengi ya kimwili ya kuambukiza kwa njia ya kuingiliana kimwili.
 
Wewe hujui lugha
 
Screenshot_20240408-232921.png
 
Amekosea wapi sasa hapo na wewe, hatlya wewe unaejua lugha tuambie amekosea wapi?

Kufanya mapenzi, kujamiiana na ngono​

Vyote havitofautishwi kwa context eti ya ndoa au nje ya ndoa. Uwe ndani ya ndoa au nje ya ndoa yote Yana apply.

Kufanya ngono ukiwa hujaoa au kuolewa ni uasherati hii ni kwa watu ambayo wako nje ya ndoa wenye mahusiano ya kimapenzi(mnaita boyfriend na girlfriend au hata malaya na mtu )

Kufanya ngono nje ya ndoa yaani umeoa au kuolewa huo ni uzinzi ndo wale wanandoa wanakuwa na michepuko nje
 
Back
Top Bottom