Kaniacha bila sababu

Pole kwa kuachwa, muulize tuu kiungwana sababu za kukuacha kupitia hizo sababu utajifunza ili ukiwa na mwingne usije ukarudia hayo makosa.
 
Habarini za leo, poleni na majukumu.

Kuna post nilishaweka hapa inasema "mpenzi wangu hataki nimfuatilie mambo yake", juzi kanitamkia wazi wazi kua hanitaki tena. Kinachoniuma ni kwamba, pesa nilikua nampa. Lakini sijapata chochote kwake, tuliwekeana kua tutasubiriana hadi ndoa. Yani sijui nimfanyeje.
Kwahiyo jombaa ulizani ukishafupia tu ndo basi tena unavuliwa kale kanguo kadogo dogo ka ndani, au?!!
 
Mkuu tpaul yanayotuweka MUJINI kwa raha zetu siku zote yanastahili kupewa priority. Kila la heri Mkuu katika majukumu yako.

mkuu BAK nipo ila majukumu ya kitaifa yamenitinga mno, ndio maana nimeadimika mkuu. pamoja sana.
 
Last edited by a moderator:
Kama ni binti yule wa miaka 17 kakuacha si uendelee na mama yake??
Na hiyo kazi yako ya kusambaza mzigo ina hela ya kuhongea kweli?
 
Back
Top Bottom