Kaniacha bila sababu

mtoto mdogo

JF-Expert Member
Aug 6, 2014
501
130
Habarini za leo, poleni na majukumu.

Kuna post nilishaweka hapa inasema "mpenzi wangu hataki nimfuatilie mambo yake", juzi kanitamkia wazi wazi kua hanitaki tena. Kinachoniuma ni kwamba, pesa nilikua nampa. Lakini sijapata chochote kwake, tuliwekeana kua tutasubiriana hadi ndoa. Yani sijui nimfanyeje.
 
Habarini za leo, poleni na majukumu.

Kuna post nilishaweka hapa inasema "Mpenzi Wangu Hataki Nimfuatilie Mambo Yake", Juzi Kanitamkia Wazi Wazi Kua Hanitaki Tena. Kinachoniuma Ni Kwamba, Pesa Nilikua Nampa But Cjapata Chochote Kwake, Tuliwekeana Kua Tutasubiriana Hadi Ndoa. Yaani Sijui Nimfanyeje.

Hiyo theory ya kusubiriana mi siwezi. Pole sana, wenzio walikuwa wanakula kwa chumvi akati ww unasubir aive.
 
Back
Top Bottom