Jinsi ya kupika pilau tamu la Nazi

Kumbe watu mnaweza mpaka kupika pilau la nazi,hamsemi.. kumbukeni wimbo wa q chief anachokipata anagawana na wenzie. Ila sio nyie wakina mama cha uchoyo, mnaona mkitukaribisha sisi ndugu zenu tutanenepa kwa hayo mapilau yenu ya nazi.

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ nakusalimu ndugu yangu kipenzi.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Kaka Mimi kukunyima wewe pilau siwezi jiandae Kwa mualiko kakaangu kipenzi
 
Natumaini mko poa,hongereni Kwa maandalizi ya sikukuu

Leo nimeandaa recipe ya pilau tamu la Nazi,karibun tujifunze

MAHITAJI
1)Mchele kilo moja.
2)Nyama iliyochemshwa Mimi nilitumia nusu
3)kitunguumaji,kata kata wastani
4)kitunguu swaumu kilichosagwa4)viaz mviringo vya wastani vitano.
5)pilaumasala
6)mafuta ya kupikia.
7)Tui la Nazi kulingana na mchele wako
8)iriki na binzari nyembamba,(Huwa natumia Ile halisi ili kuongeza ladha na harufu nzuri kwenye chakula)

JINSI YA KUPIKA
1)bandika sufuria jikoni weka mafuta ya kula kidogo sana kwaajili ya kukaanga kitunguu tu yakipata moto weka kitunguu maji kaanga kikianza kulegea na kubadilika rang weka kitunguu swaumu kaanga hadi viwe rangi ya brown

2) Weka pilau masala pamoja na binzari nyembamba na iriki changanya kidogo
Kisha weka Viazi na nyama

3) Changanya Kwa dakika 3 Kisha weka Tui la Nazi kiasi kulingana na mchele wako weka chumvi koroga uchanganye vizuri kisha acha Tui lichemke

4) Vikichemka weka mchele wako koroga uchanganye funika subiri ukauke

5) Ukishakauka punguza moto acha kidogo Kisha utageuza utaacha Tena kidogouive vizuri, pilau itakuwa tayari
Kinachofata ni kuandaa kachumbari na soda ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Karibuni Kwa nyongeza na maoni

View attachment 2948308
View attachment 2948310
Wizo mate yamenitoka mwenzio ๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹
Mbona hukunifundisha mapema ili nipike pasaka, si ungeniita jamani?? Sijapentraaaa ๐Ÿ˜
 
Shangaziii nakujaa inbo, unielekeze tsup kwa voice note, nielewe vyediiii.

Unifundishee mapishi mbali mbali, maana ninachopika mlaji anavumilia tyuuh.
Karibu sana auntyangu nitakaa na fimbo huko whatsap had kieleweke๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Z
Natumaini mko poa,hongereni Kwa maandalizi ya sikukuu

Leo nimeandaa recipe ya pilau tamu la Nazi,karibun tujifunze

MAHITAJI
1)Mchele kilo moja.
2)Nyama iliyochemshwa Mimi nilitumia nusu
3)kitunguumaji,kata kata wastani
4)kitunguu swaumu kilichosagwa4)viaz mviringo vya wastani vitano.
5)pilaumasala
6)mafuta ya kupikia.
7)Tui la Nazi kulingana na mchele wako
8)iriki na binzari nyembamba,(Huwa natumia Ile halisi ili kuongeza ladha na harufu nzuri kwenye chakula)

JINSI YA KUPIKA
1)bandika sufuria jikoni weka mafuta ya kula kidogo sana kwaajili ya kukaanga kitunguu tu yakipata moto weka kitunguu maji kaanga kikianza kulegea na kubadilika rang weka kitunguu swaumu kaanga hadi viwe rangi ya brown

2) Weka pilau masala pamoja na binzari nyembamba na iriki changanya kidogo
Kisha weka Viazi na nyama

3) Changanya Kwa dakika 3 Kisha weka Tui la Nazi kiasi kulingana na mchele wako weka chumvi koroga uchanganye vizuri kisha acha Tui lichemke

4) Vikichemka weka mchele wako koroga uchanganye funika subiri ukauke

5) Ukishakauka punguza moto acha kidogo Kisha utageuza utaacha Tena kidogouive vizuri, pilau itakuwa tayari
Kinachofata ni kuandaa kachumbari na soda ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Karibuni Kwa nyongeza na maoni

View attachment 2948308
View attachment 2948310
Zuri kwa pasaka
 
View attachment 2948310Mbona Prof. Janab alisema ukila pilau na soda utumbo utapasuka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom