Jinsi ya kupika pilau tamu la Nazi

The best moment naipataga Niki enda home aisee 🤓.
Ni kukaa mezani kusubiri maajabu ya mpishi😂.

Usije nigombanisha na majirani zangu, akati wao wa kishua, mi jobless pro max tu 😂
Ni raha sana Mimi sina hiyo bahat akiniona ndio anaanza matashitit mara pika hiki mara hiki😀
Nataka niwasalimie majirani zako 🤣🤣
 
Napenda sana mapishi ingawa najialika mwenyewe 😄 🤣 😂
Sio mzuri hivyo bali huwa najaribu ila tamu
Leo kuna marinated steak nataka nikaichome sasa hivi kabla ya Ftari
Tamaa tu hamna lolote 😄
Unajua njaa tena
Ni raha sana kupika kitu unachotamani kula mwenyew hat kama kikatoka ndivyo sivyo
Nakumbuka nilipika vile viaz vya kusaga unachanganya na mayai kwakweli nilitoa Boko 😂😂😂😂nikawa najisifia kinafki mwenyew 🤣🤣
 
Chakula kinavutia
Unaweza kupika chicken birian?
Yes, biriani najua kupika za aina nyingi tu….vegetable biriani, chicken birian, shrimp biriani, beef biriani, goat biriani, nk.

Niliwahi kujifunza kupika pilau, nikapika mara kadhaa halafu nikaacha. Nimeshahau sasa.

Itabidi nianze tena kufanya mazoezi ya kulipika.

Hilo la kwako limetokelezea kweli kweli. Natamani niingie ndani ya screen nichote hata vijiko viwili nionje 😀.
 
Yes, biriani najua kupika za aina nyingi tu….vegetable biriani, chicken birian, shrimp biriani, beef biriani, goat biriani, nk.

Niliwahi kujifunza kupika pilau, nikapika mara kadhaa halafu nikaacha. Nimeshahau sasa.

Itabidi nianze tena kufanya mazoezi ya kulipika.

Hilo la kwako limetokelezea kweli kweli. Natamani niingie ndani ya screen nichote hata vijiko viwili nionje 😀.
Hongera uko vizuri mm birian nilijaribu mara moja tu
Pilau ndo nalionea napika Hadi la samaki 😀
Karibu sana Lilikuwa tamu sana kwakweli
 
😂😂😂
Ntakuwa nakufuatilia ingawa huwa najitungia tu mimi mradi kitu kiive
20240329_175254.jpg
20240329_174239.jpg
 
Natumaini mko poa,hongereni Kwa maandalizi ya sikukuu

Leo nimeandaa recipe ya pilau tamu la Nazi,karibun tujifunze

MAHITAJI
1)Mchele kilo moja.
2)Nyama iliyochemshwa Mimi nilitumia nusu
3)kitunguumaji,kata kata wastani
4)kitunguu swaumu kilichosagwa4)viaz mviringo vya wastani vitano.
5)pilaumasala
6)mafuta ya kupikia.
7)Tui la Nazi kulingana na mchele wako
8)iriki na binzari nyembamba,(Huwa natumia Ile halisi ili kuongeza ladha na harufu nzuri kwenye chakula)

JINSI YA KUPIKA
1)bandika sufuria jikoni weka mafuta ya kula kidogo sana kwaajili ya kukaanga kitunguu tu yakipata moto weka kitunguu maji kaanga kikianza kulegea na kubadilika rang weka kitunguu swaumu kaanga hadi viwe rangi ya brown

2) Weka pilau masala pamoja na binzari nyembamba na iriki changanya kidogo
Kisha weka Viazi na nyama

3) Changanya Kwa dakika 3 Kisha weka Tui la Nazi kiasi kulingana na mchele wako weka chumvi koroga uchanganye vizuri kisha acha Tui lichemke

4) Vikichemka weka mchele wako koroga uchanganye funika subiri ukauke

5) Ukishakauka punguza moto acha kidogo Kisha utageuza utaacha Tena kidogouive vizuri, pilau itakuwa tayari
Kinachofata ni kuandaa kachumbari na soda 😄😍😍

Karibuni Kwa nyongeza na maoni

View attachment 2948308
View attachment 2948310
Duuu,linatamanisha balaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom