Suhendra
JF-Expert Member
- Nov 25, 2023
- 1,173
- 2,640
Habari, natumaini nyote mko poa
Leo tutajifunza simple biriani waweza pika mahala popote.
Moja kwa moja niingie jikoni
MAANDALIZI.
kitunguu thoumu
Tangawizi
pilipili manga ya unga
binzari nyembamba
Mdalasini
chumvi
Nyama mbichi
Maziwa
Tomato past
Karoti
Nyanya ya kawaida
wazichanganya kwenye sufuria moja then watia jikoni
Kisha wapika wali ambao watia rangi mbili,
Viazi watia rangi,chumvi kisha wakaanga
Kitunguu maji wakaanga halafu wachanganya kwenye mchuzi wako.
Mpaka hapo biriani liko tayari kuliwa.