Je, ni kabila gani uliambiwa usioe/ usiolewe nalo na kwanini?

Kwa jamii zetu za kitanzania ni suala la kawaida Kwa wazazi wetu kukushauri masuala ya future especially ndoa .........Kwa kukuambia makabila ya kuoa/ kuolewa nayo ...ukiachana na wale wa kishua ambao huambiwa waolewe na watoto wa matajiri wenzao

Kwetu sisi tuliambiwa hatutakiwi kuoa jamii za kaskazini especially wachaga Kwasababu Fulani Fulani kuwa ulipata Mali basi ndo ticket Yako ya kwenda ahera madukani

But ukweli ni kuwa broo alioa mchaga ....wanapesa na bado huyu mke wake anakubalika sana huku ukweni Kwa sababu ya kindness kubwa alionayo ......????

NB: zakuambiwa changanya na zako

Je ni kabila gani uliambiwa usioe/ usiolewe nalo na kwanini?View attachment 2712595

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Uchagani kwa wapalestina
 
Mimi ni hili moja kubwa wachagga ninwashirikina na hawawezi ishi bila kuloga wenzao ninwachukua nyota , wapare hawa ni mafree manson , aisee nawaogopa sana wanacheza na majini, mashetani, wanaua yaani acha tu , kila aina ya uchawi wanaujua halafu ule mmbaya sana .
Wanafuata wambulu, warangi, nyaturu bwanaroho mbaya hawana matunzo.
Wagogo, hawataki maendeleo , waha wachawi sana kupitiliza , wasukuma wanapiga , wasambaa , wadigoo, hawa ni shida sana,wahehe watanilisha mbwa , basi
 
Back
Top Bottom