Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 15,983
- 24,616
Kulingana na Uzi uliopostiwa humu Je, ni kabila gani uliambiwa usioe/ usiolewe nalo na kwanini?
huu ni mrejesho wa maoni ya wanajf walio share makabila magumu / tata kwenye ndoa
Based on experiences Kwa walio na waliowahi kuingia ndoani
1. Waha ...
Hawa ndugu zetu walitajwa sana na Wana jf ....wabishi + ushirikina heavyweight
2. Wapare
Pia walitajwa sana kuwa ni complicated sana kwenye ndoa
3. Chaga ( wamachame )
Pia wametajwa sana ....wababe sio Kwa wanaume tu .....hata wanawake
4.wanyakyusa
Japo tumeonewa ....tupo social sana
5. Wadigo
6 wamakonde
7. wakurya
Kupiga + mahasira kama yote
8. Wazaramo
Uswahili mwingi Hadi Kwa wazee
9. Wagogo
Wavivu ...... hawapendi Maendeleo but kuomba sana
10. wasukuma
Watu wema sana .....wanaupendo sana, ukarimu, wachapa kazi ila ... tatizo lao Moja kubwa.......wanaabudu sana ushirikina
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app