Je, ni kabila gani uliambiwa usioe/ usiolewe nalo na kwanini?

Niliaswa sana kuhusu

Wakinga - wachawi
Wanayakyusa - wababe
Makabila ya kaskazini - wabinafsi, wasio na mapenzi wanajali mali

Cha ajabu Mungu fundi bwana, nimeoa mdada wa arusha ni mpole mnyenyekevu ana upendo, sio mchoyo wala hana mambo mengi. Na ni mzuri kwelikweli

Yani hata ahera wakisema nichague mke ntachagua mama chanja wangu jamani


Haya mambo ya mapenzi weka pembeni sjui makabila sjui nini. Cha msingi mnapendana mnaheshimiana na mna chemistry basi inatosha.

Nlidate na wa kabila langu wote tulishindwana
Ulibahatika mkuu

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
🤣🤣🤣 Sijawahi kuona mtu wa bara akafurahia ndoa na Mzaramo au Mndengereko. Bora waoane wenyewe
Wazaramo ni package ya tofauti kabisa yaani hata wao kwa wao kuoana ni ngumu.
Inataka moyo sana kuishi na mwanamke wa kizaramo , ngoma na shughuli kila siku halafu ni wanawake ambao hawana heshima kwa mwanaume na pia hawana misimamo binafsi kuhusiana na maisha yao , anaweza kuwa kwenye ndoa au mahusiano lakini control ipo kwa mashosti au ndugu zake .
Ngumu sana kuishi na mwanamke wa kizarano wanakujaga kujitambua wakiwa na umri mkubwa sana wameshachoka mbaya
 
Wazaramo ni package ya tofauti kabisa yaani hata. Wao kwa wao kuoana ni ngumu.
Inataka moyo sana kuishi na mwanamke wa kizaramo , ngoma na shughuli kila siku halafu ni wanawake ambao hawana heshima kwa mwanaume na pia hwanana misimamo binafsi kuhusiana na maisha yao , anaweza kuwa kwenye ndoa au mahusiano lakini control ipo kwa mashosti au ndugu zake .
Ngumu sana kuishi na mwanamke wa kizarano wanakujaga kujitambua wakiwa na umri mkubwa sana wameshachoka mbaya
Umeelezea vizuri sana chifu
 
Back
Top Bottom