Je, ni kabila gani uliambiwa usioe/ usiolewe nalo na kwanini?

Wachaga.

Babu alloa mchaga.

Wakaja ndugu zake kumchukua.

Wakati wakimtorosha walikata viwele vya maziwa vya ngombe, wengi tu.

So Babu akaweka amri kwamba asitokee mtu kuoa watu wa kabila hilo kwakua walichokifanya ilikua unyama mtupu.
 
Back
Top Bottom