hamas wamejipanga zaidi ya miaka kumi wanatengeneza njia za chini kwa chini yani akiwa huko chini anasafiri anatokea syria,Sasa hivi hamas wanamtoa kamasi mwezi wa sita huu.
then wanatumia wamama, watoto, mashule na mahospital kama ngao, wanajichanganya na raia na wanavaa nguo za kiraia, ukipiga bomu badala waokoe watu wanaanza kurekodi wanatuma aljazera, ulitarajia mtu kama huyo utamshinda kwa wiki mbili?