Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 15,453
- 33,370
Waajemi wapo mbele kwa lolote lile hata ranking za wazungu, hao waisrael wana mushkeri maana sio wale wa mwanzo waliokuwa wanapigwa na Hitler.
Hakuna kitu kama Israel...wale ni USA agents... kwahiyo Iran hawezi shindana na USA for nowNaomba ukweli tu ndio usemwe nani mwenye uwezo wa kimedani Kati ya mahasimu hawa wawili kati ya muyahudi na waajemi. Kuna watu wanapenda mambo ya medani japo vita ni kuzimu( hell ) ila ni hulka ya binadamu kujipa uhalali kiuwezo na kiplopaganda. Israel alianza kutoa mapigo kisha akajibiwa je nani mwenye military edge kumuwin mwenzake?, Religion sympathy sio mahala pake hapa I want only facts to spoken.
Naomba ukweli tu ndio usemwe nani mwenye uwezo wa kimedani Kati ya mahasimu hawa wawili kati ya muyahudi na waajemi. Kuna watu wanapenda mambo ya medani japo vita ni kuzimu( hell ) ila ni hulka ya binadamu kujipa uhalali kiuwezo na kiplopaganda. Israel alianza kutoa mapigo kisha akajibiwa je nani mwenye military edge kumuwin mwenzake?, Religion sympathy sio mahala pake hapa I want only facts to spoken.
Hili Ni Gumu Mno Kuliamini Ila Ndiyo Ukweli Ambao Hauwekwi Bayana Popote PaleHakuna kitu kama Israel...wale ni USA agents... kwahiyo Iran hawezi shindana na USA for now
.Kupima uwezo wa nchi katika medali za kivita ni ngumu kiasi kwasababu Israel anawashirika na Iran anawashirika. Ubora wa hao washirika unanafisi kubwa katika kuamua matokeo chanya. Israel huenda hamuogopi Iran ila anawaogopa washirika wa Iran.
Katika medani za kivita Irani na washirika wake wanaweza Kuwa bora dhidi ya Israel na Washirika wake.
Wale ni Wamongoli! Ngoja tumwite Othman Bay aje amalizanenao.Ni dhambi kubwa kuifananisha Iran na wahuni waliookotezwa ulaya na kuwekwa pale Middle east,,,
Ila wanawadhibiti vilivyo magaidi ya kipalestina hapo gazaNi dhambi kubwa kuifananisha Iran na wahuni waliookotezwa ulaya na kuwekwa pale Middle east,,,
US yenyewe inaigopa Iran ikiwa Ma Al Hout wa Yemen kawakimbia iwe Iran.Hakuna kitu kama Israel...wale ni USA agents... kwahiyo Iran hawezi shindana na USA for now
Gaidi ni yule aliokotwa kutoka Poland, Germany, Hungary etc. Na kupachikwa pale Middle east ili alete fujoIla wanawadhibiti vilivyo magaidi ya kipalestina hapo gaza
This is true meaning of Zionist TerrorismGaidi ni yule aliokotwa kutoka Poland, Germany, Hungary etc. Na kupachikwa pale Middle east ili alete fujo
Hizo mbwembwe zipo Afrika kwa wapumbavu.Comrade Hitler aliwanyoosha kisawa Sawa,mpaka leo wakisikia Wanazi wanakumbuka yaliyo wakuta kwenye zile kambi.Zile mbwembwe za kusema lile taifa la Mungu sijui ujinga gani naona umefikia mwisho tuangalie mengine
Mkuu, umeuliza swali zuri ila sasa mbona hujaweka vigezo vya kuzingatia zaidi ya Udini tu? Yan kwa mfano Israeli isimame kama israeli(nchi peke yake bila washirika) na Iran kama Iran (nchi peke yake bila washirika) auNaomba ukweli tu ndio usemwe nani mwenye uwezo wa kimedani Kati ya mahasimu hawa wawili kati ya muyahudi na waajemi. Kuna watu wanapenda mambo ya medani japo vita ni kuzimu(hell) ila ni hulka ya binadamu kujipa uhalali kiuwezo na kiplopaganda. Israel alianza kutoa mapigo kisha akajibiwa je nani mwenye military edge kumuwin mwenzake? Religion sympathy sio mahala pake hapa I want only facts to spoken.
View attachment 2969643
Katika nchi zenye uwezo kijeshi Israeli mtoe, ule uongo mliokua mkidanganya marahii umefika mwisho. Hana uwezo hata wa kupigana na wanamgambo, mwezi wa sita huu anahangaika na Hamas. Kuporomosha majumba na kuuwa wanawake na watoto huo ni wendawazimu sio vita.