Je, Israel ana combat superiority dhidi ya Iran?

Naomba ukweli tu ndio usemwe nani mwenye uwezo wa kimedani Kati ya mahasimu hawa wawili kati ya muyahudi na waajemi. Kuna watu wanapenda mambo ya medani japo vita ni kuzimu(hell) ila ni hulka ya binadamu kujipa uhalali kiuwezo na kiplopaganda. Israel alianza kutoa mapigo kisha akajibiwa je nani mwenye military edge kumuwin mwenzake? Religion sympathy sio mahala pake hapa I want only facts to spoken.
Israel ukiwatoa West ni mbwa aliyenyolewa
 
Israel ana 'back up' ya EU na Marekani. Ila kwa siku za usoni inaonekana Israel kawachukiza wanaompa kiburi (EU--baadhi ya nchi za Umoja wa Ulaya na Marekani). Kiuhalisia Israel hana nguvu ya kupambana na Iran kwani Iran alichofanikiwa ni kuweka nguvu nzito tangu kitambo.
 
Yaliyoandikwa juu yao wayahudi yataendelea kudumu kwa kuwabeba milele, hata kungetokea matusi ya dunia nzima juu ya yale wameahidiwa, haitazuia kitu juu yake aliyewaahidia ulinzi wake kupitia mataifa yenye nguvu

👇👇👇

Isaya 49:22-23
22 Bwana MUNGU asema hivi, Tazama, nitawainulia mataifa mkono wangu na kuwatwekea kabila za watu bendera yangu; nao wataleta wana wako vifuani mwao, na binti zako watachukuliwa mabegani mwao.

23 Na wafalme watakuwa baba zako za kulea na malkia zao mama zako za kulea watainama mbele yako kifudifudi, na kuramba mavumbi ya miguu yako; nawe utajua ya kuwa mimi ni BWANA, tena waningojeao hawatatahayarika.
 
Umeingiza ugonjwa uitwao kobaz
Naona mpakwa mafuta umekuja juu, hawa wakati wanachomwa kama mishkaki na Hitler hawakuwa na nguvu za kupigana? juzi tu hapa mwaka 45 vita ya pili ,walikuwa hawana uwezo .

Kiufupi hawana historia yoyote ile zaidi ya porojo ,muajemi ni mbishi tangu mnara wa babeli ....Ufananishe na hao wazee wa kubebwa.
 
Naona mpakwa mafuta umekuja juu, hawa wakati wanachomwa kama mishkaki na Hitler hawakuwa na nguvu za kupigana? juzi tu hapa mwaka 45 vita ya pili ,walikuwa hawana uwezo .

Kiufupi hawana historia yoyote ile zaidi ya porojo ,muajemi ni mbishi tangu mnara wa babeli ....Ufananishe na hao wazee wa kubebwa.
Asema Khomenei
 
Naona mpakwa mafuta umekuja juu, hawa wakati wanachomwa kama mishkaki na Hitler hawakuwa na nguvu za kupigana? juzi tu hapa mwaka 45 vita ya pili ,walikuwa hawana uwezo .

Kiufupi hawana historia yoyote ile zaidi ya porojo ,muajemi ni mbishi tangu mnara wa babeli ....Ufananishe na hao wazee wa kubebwa.
Kwani aliyeoa kitoto cha miaka sita anasemaje?
 
Kwa kipindi hiki cha mapinduzi makubwa katika Sayansi na technolojia hakuna nchi duniani kijeshi inayoweza kujivuna kuwa ni mbabe kuliko mwingine!
Hata mataifa makubwa duniani mf. Marekani,Russia,China,Uingereza,Ufaransa,nk yameanza kuona si kitu tena!
Nchi kama Pakstani,India,North Korea, zinamiliki silaha za kinyukilia!
Kuna usalama hapo?
Kwa mwezi huu ambapo Israel na Iran zimetunishiana misuli,huwezi kusema ipo iliyo bora kuliko nyingine.
October 7 Israel iliposhambuliwa imejiona haina jeuri tena! Kabla Iran haijaishambulia watu walishinda kwenye mahandaki kuhofia shambulio la Iran! Na Iran liyokuwa inajivunia Defensive systems za S-300 ,katika shambulio la juzi la lilifanywa na Israel S-300 iliharibiwa! Israel imeithibitishia Iran kuwa anga lake linapenyeka!
 
Necessity is the mother of invention Iran wako vizuri sana baada ya kuwekewa vikwazo kwa miaka mingi walianza kujitegemea kutengeneza kila kitu wenyewe bila kumtegemea mtu kwanzia madawa hadi silaha za kujilinda na kushambulia na ndo tishio hapo mashariki ya kati
 
US yenyewe inaigopa Iran ikiwa Ma Al Hout wa Yemen kawakimbia iwe Iran.

US labda akapige nuclear tu ndio atamshinda Iran, lakini Iran mwendo anao kwenda nao kwenye kutengeneza silaha, US atie maji kichwani karibu atanyolewa huko huko ndani ya US.
Israel kama israel hana uwezo wa kupigana na iran ila uhalisia ni kwamba atayekuja kupigana vita ya israel ni marekani na washirika wake
Vita ni hela kupigana na marekani na washirika wake ni ngumu, putin na nchi kama china ndio zina msuli huo wengine wote bado sana , utafilisika
 
Lazima utasema sio ukweli kwa sababu ya chuki zako kwa waislamu
Wala siwachukii Waislam hata kidogo na sifurahii kuuawa kwa mtu yeyote awe mtoto, wanawake, wanaume, Waislam au Makafir. Kila mtu ana Haki ya kuishi - tena aishi kwa amani na upendo.
 
Back
Top Bottom