Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 2,689
- 6,710
Nimekuelewa mkuu.Mfano iwe club, beach, kwenye usafiri, popote pale, siwezi mshobokea mwanamke hata kama awe mzuri kama cleopatra.. baada ya salaam kama inafaa kumsalimia(mfano nimemkuta kwenye siti ya usafiri baada ya hapo ni buyu, labda anizungumzishe yeye, akinichangamkia basi nami namchangamkia 2 times, ila akipiga buyu mie napiga buyu la millenium.)