Ila wanaume tuna shida, hali ya kuomba namba na kunyimwa ni mfadhaiko mkubwa sana

kunyimwa namba sio tatizo, kuna wengine wanasema sina simu kila ukimbembeleza anakuambia sina simu kuna mwingine anakupa namba ukimpigia tu ana block kuna mwingine anakupa namba hapo hapo anakuomba pesa ndefu kuna mwingine anakupa namba mtaongea siku ya kwanza na mtachati vizuri baadae siku mbili zikipita ukituma msg hajibu ukipiga hapokei
 
Back
Top Bottom