Ila wanaume tuna shida, hali ya kuomba namba na kunyimwa ni mfadhaiko mkubwa sana

Wakuu habari za Jumapili,
Kama kichwa cha thread kinavyosema, ile hali umemsimamisha msichana unamuomba namba halafu anakunyima, daa inaleta stress sana ila basi tu.
Mengine ni kumshukuru mungu t huwez jua kakurpushia na nn .
Sio kila ukionacho ukipate kuna mungu pia😂😂😂
 
Mkuu hauko attractive, mwanaume hanyimwi namba. Zingatia muonekano wako kabla haujasimamisha duu, kingine usiombe namba b4 hujajenga emotional connection, lazima kuwe na kitu kitakachomfanya aendeleze maongezi na wewe kwa njia ya simu. Mwisho zingatia confidence yako ukiwa unafanya vyote hivyo.
Nimepata kitu hapa
 
Sio namba tu


Mimi chochote kile ninachoamini naweza muomba mtu nikiwa na uhitaji nacho akinipa ni sawa, akininyima pia sina tatizo nae. Mara zote huwa naheshimu sana maamuzi ya mtu
 
Back
Top Bottom