Choo kigumu (kama jiwe)

Wakuu mimi nikijana mdog tu sana hata 22 sijafika najitegemea ila nimepatwa na hili janga choo nakiona kuzimu kila nikibanwa na gogo natamani nijifiche

Kwanza mimi sio mlaji sana haswa kunakipindi najikuta maokoto jau hivyo napiga mlo mmoja ila nikipata pia najibutua chakula changu ni chips, dagaaa wali au ugali (hivyo ndivyo nakula sana maana sipendi nyama pia sipendi majani)

Nipipopqnga choo sio privacy sanaa hivyo najitahidi kwenda kuliangusha mida ya saa5 au 6

Ila tatizo situation kama hizo napitaga hata siku2 au 3 sometime 6 sijasign na hasa nikifikiria maumivu duh naona bora nijipange kwanza ila nikiinga afe kipa afr beki lazima niliangushe

Nimeleta uzi kwa shida ya leo bwana nimeingia msalani gogo zito hapo sijasign leo siku ya 3 bwana kamua kamua wapi nikasema sitoki kapa oya wadada na wamama shikamooni maana ile ni zaidi ya kuzaq kitu kigumu alafu kinene kama mguu wa mtoto wa miaka 5 oya shida niliyopata siwezi kuwaeleza ila damu ilidondoka (hata mara y mwisho damu zilidondoka matone) kigogo kikagonga sink nikasikiaa koooooo nikasubiri damu ikate nikajisafisha nikatoka

Sasa hapa ndio naomba ushauri kwa mtu mwenye kipato kidogo afanyaje kuepuka hizi hali maana ni majanga hapa nikifikiri kuna siku nitahitajika kurudi kule natamani nisile kabisaaa

Ushauri

View attachment 2974630
Pole sana mkuu.
Tatizo lako linasababishwa na lishe duni.

Unakula vyakula vya wanga kwa 80% kitu ambacho kinakuathiri kiafya, hizo mboga za majani ambazo huzipendi zingekusaidia sana kipindi hiki ambacho hauko vizuri kiuchumi sababu ni bei rahisi.

Ukifanikiwa kujipata kidogo kwenye maokoto na kuweza kurekebisha chakula chako jitahidi sana kubalance diet yako katika kila mlo pia kuongezea mboga za majani za kutosha pamoja na matunda katika mlo wako wa kila siku kutakufanya uwe na maisha mazuri chooni, vilevile ujitahidi kunywa maji walau glass 8 kwa siku japo maji pekee hayatoshi. Vyakula vya fiber ni muhimu sana kwako kipindi hiki
 
Nilipitia msoto wa mlo mmoja ila sikupataga hiyo changamoto.

Kuchagua vyakula ni janga linaloanzia tangu utoto, ukiruhusu mwanao achague chague vyakula hovyo hata kwa madeko tu, ukubwani ndo kama hawa anakua hana vitu vya kula.

Unakula chipsi, usitegemee ufurahie hii burudani adhim ya ukataji gogo abadani, mla chipsi hafurahii haja.
Utannya maronya ronya tu, unakula maandazi utegemee ufurahie gogo sio rahisi.

Mboga za majani huli, maji hunywi, bamia huli, ugali huli, matunda huli, mihogo huli dogo unakula mchanga??

Babu yangu alikua anasema hata kama hupendi mboga za majani basi jitahidi ule kama dawa, kila mtoto atawekewa ale, kama hupendi ifanye ni dawa kula, mpaka tukazizoea na kuona kumbe ni tamu ila madeko ya kitoto na kuiga wakubwa kama wewe ndo kulifanya tuzikatae.
 
Uwe unaahirisha kukata gogo.Unakula mlo mmoja na mwepesi halafu unataka ujaze sinki?Tulia komredi.
 
Pole sana mkuu.
Tatizo lako linasababishwa na lishe duni.

Unakula vyakula vya wanga kwa 80% kitu ambacho kinakuathiri kiafya, hizo mboga za majani ambazo huzipendi zingekusaidia sana kipindi hiki ambacho hauko vizuri kiuchumi sababu ni bei rahisi.

Ukifanikiwa kujipata kidogo kwenye maokoto na kuweza kurekebisha chakula chako jitahidi sana kubalance diet yako katika kila mlo pia kuongezea mboga za majani za kutosha pamoja na matunda katika mlo wako wa kila siku kutakufanya uwe na maisha mazuri chooni, vilevile ujitahidi kunywa maji walau glass 8 kwa siku japo maji pekee hayatoshi. Vyakula vya fiber ni muhimu sana kwako kipindi hiki
Ahsante
Ondoa kabisa chips, ongeza mboga za majani na matunda
Duh nimetoka kuzigonga sasa hivi
Nilipitia msoto wa mlo mmoja ila sikupataga hiyo changamoto.

Kuchagua vyakula ni janga linaloanzia tangu utoto, ukiruhusu mwanao achague chague vyakula hovyo hata kwa madeko tu, ukubwani ndo kama hawa anakua hana vitu vya kula.

Unakula chipsi, usitegemee ufurahie hii burudani adhim ya ukataji gogo abadani, mla chipsi hafurahii haja.
Utannya maronya ronya tu, unakula maandazi utegemee ufurahie gogo sio rahisi.

Mboga za majani huli, maji hunywi, bamia huli, ugali huli, matunda huli, mihogo huli dogo unakula mchanga??

Babu yangu alikua anasema hata kama hupendi mboga za majani basi jitahidi ule kama dawa, kila mtoto atawekewa ale, kama hupendi ifanye ni dawa kula, mpaka tukazizoea na kuona kumbe ni tamu ila madeko ya kitoto na kuiga wakubwa kama wewe ndo kulifanya tuzikatae.
Kweli kabisa
Acha upimbi mkuu mimi nilikua namuuliza hilo suali advocate wa upinde BICHWA KOMWE - au wewe ni mgeni humu mjengoni ?
Nilikuwa sijui
 
Wakuu nashukuruni sana angalau leo nimepata gogo japo sio jingi ila sio gumu shida ni kuwa zile adhari za jana mpaka leo nazipata maana damu imetoka kutokana na kidonda cha jana ila nashukuru nakunywa maji sana kila niwezapo nimenunua chupa la uhai 1.6 nimepanga nilimalize pia kwenye mlo nitazingatia sana kubalance ngoja trh 30 ifike
 
Kula Matunda, mboga mboga, maji mengi sanaaaaa. ZINGATIA SANA HII.

Acha kula ugali wa kisukuma (mgumu) na mboga zisizo na michuzi (kavu).

Punguza mazoezi au kazi ngumu kama unaweza ili kupunguza upotevu wa maji.

Udhuria Toilet punde tu unapohis haja ili kuepusha kinyesi kufyonzwa maji na kubaki kikavu sanaa.

Ukifika Toi usiforce mambo wala usiwe na haraka subir mzigo ushuke wenyewe taratibu.

UKIPUUZA HAYO. Utachubuka njia ya haja kubwa, utavuja damu, utaotea vinyama wanaita bawasili na utapata tabu sana.

Pole lakin Mkuu wangu.
 
Qhsante ntazingatia hayo
 
Vidonda vya tumbo
Acid reflux au bawasiri inakunyemelea
Kunywa Maji kabla ya chakula hakikisha unaanza kula matunda ndio ule chakula hasa parachichi,ndiz na papai
Ila bawasiri ni ugonjwa mbaya na wa aibu, Lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom