Wataalamu tatizo la kutopata mkojo na choo husababishwa na nini?

Kukosa mkojo ni hatari sana ni kiashiria cha figo kufeli.
Kutopata mkojo ni hatua ya mwisho ya figo kufeli (End stage kidney disease) inaweza kuwa ni ghafla (acute) au ikatokea taratibu (chronic) ambapo mkojo huanza kupungua taratibu kabla ya kukata kabsa
Tutunze figo zetu Kwa kunywa maji ya kutosha, kula vizuri,kutotumia madawa bila ushauri wa daktari, kuhakikisha presha na sukari zipo vzuri, kuepuka maambukizi njia ya mkojo (UTIs) na mambo mengine kama hayo
 
Tutunze figo zetu Kwa kunywa maji ya kutosha, kula vizuri,kutotumia madawa bila ushauri wa daktari, kuhakikisha presha na sukari zipo vzuri, kuepuka maambukizi njia ya mkojo (UTIs) na mambo mengine kama hayoooo

Kutopata mkojo ni hatua ya mwisho ya figo kufeli (End stage kidney disease) inaweza kuwa ni ghafla (acute) au ikatokea taratibu (chronic) ambapo mkojo huanza kupungua taratibu kabla ya kukata kabsa
Tutunze figo zetu Kwa kunywa maji ya kutosha, kula vizuri,kutotumia madawa bila ushauri wa daktari, kuhakikisha presha na sukari zipo vzuri, kuepuka maambukizi njia ya mkojo (UTIs) na mambo mengine kama hayo
Oooh Ahsante maana tukasema au uchawi
 
Mkuu...Imani za kishirikina ni janga
Assume mgonjwakama huyo anapelekwa Kwa mtaalamu/watu wa madawa ya asili na anaenda kupatiwa madawa ya mitishamba ambayo ni sumu tena Kwa figo
Yaan figo tayar Ina shida halafu inaongezewa sumu nyingine tena, kinachofuata ni kuiua Moja kwa Moja
Ushauri: ukipitia kitu au changamoto ambayo huielewi, ni vzuri kwenda hospital kufanya vipimo kwanza. Ukishajua Sasa hapa nauma Nini, hata ukirud kutumia dawa za mitishamba unakua unafahamu unatibu nn
 
Hisia chungu, hofu na woga

Halafu misosi isiyo na kambauzi na maji yasotosha ni moja ya sababu
 
Mkuu...Imani za kishirikina ni janga
Assume mgonjwakama huyo anapelekwa Kwa mtaalamu/watu wa madawa ya asili na anaenda kupatiwa madawa ya mitishamba ambayo ni sumu tena Kwa figo
Yaan figo tayar Ina shida halafu inaongezewa sumu nyingine tena, kinachofuata ni kuiua Moja kwa Moja
Ushauri: ukipitia kitu au changamoto ambayo huielewi, ni vzuri kwenda hospital kufanya vipimo kwanza. Ukishajua Sasa hapa nauma Nini, hata ukirud kutumia dawa za mitishamba unakua unafahamu unatibu nn
Uko sawa kabisa.Kuna changamoto kubwa kwa watu wengi kutaka kutumia dawa za mitishamba bila kupima kwanza ili wajue wanasumbuliwa na tatizo lipi la msingi.Matokeo yake ni kuzidi kujiongezea mzigo ambao pengine haukutakiwa kabisa.Niliwahi kupeleka sample ya dawa kwa mkemia kwa ajili ya uthibitisho,lakini cha ajabu ilikutwa na viambata vingi visivyofaa pamoja na kwamba ni mti asili.Watu wengi wanatumia mitishamba makapi ambayo haina chochote ndani yake kulingana na namna ilivyovunwa na kuandaliwa. Kwa hiyo elimu ni mhimu sana,siyo kila mahali unaweza ukapata dawa asili nzuri!
 
Kutopata mkojo ni hatua ya mwisho ya figo kufeli (End stage kidney disease) inaweza kuwa ni ghafla (acute) au ikatokea taratibu (chronic) ambapo mkojo huanza kupungua taratibu kabla ya kukata kabsa
Tutunze figo zetu Kwa kunywa maji ya kutosha, kula vizuri,kutotumia madawa bila ushauri wa daktari, kuhakikisha presha na sukari zipo vzuri, kuepuka maambukizi njia ya mkojo (UTIs) na mambo mengine kama hayo
Wiki tatu zilizpita ndugu yangu alikuwa kwenye hii changamoto,alikuwa hapati choo na mkojo kwa muda mrefu,na wakati mwingine tumbo linaonekana kujaa na miguu kuvimba.
Baada ya kufanya vipimo vya x-ray na US ikaonekana ana shida kwenye moyo.Moyo umepanuka na unajaa maji,ina nalo limekuwa kubwa na mishipa inayotoa damu kwenye ini imepanuka.Sukari,cholestol,urea na vingine vyote kwenye damu vikawa normal.Figo haikuwa na shida kabisa.
Baada ya kugundua shida sasa hivi anaendelea vizuri sana.Watu wapate vipimo kila wanapopata viashilia vya namna hii,kuna mambo mengi yanayoweza kusababisha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom