Choo kigumu (kama jiwe)

Wakuu mimi nikijana mdog tu sana hata 22 sijafika najitegemea ila nimepatwa na hili janga choo nakiona kuzimu kila nikibanwa na gogo natamani nijifiche

Kwanza mimi sio mlaji sana haswa kunakipindi najikuta maokoto jau hivyo napiga mlo mmoja ila nikipata pia najibutua chakula changu ni chips, dagaaa wali au ugali (hivyo ndivyo nakula sana maana sipendi nyama pia sipendi majani)

Nipipopqnga choo sio privacy sanaa hivyo najitahidi kwenda kuliangusha mida ya saa5 au 6

Ila tatizo situation kama hizo napitaga hata siku2 au 3 sometime 6 sijasign na hasa nikifikiria maumivu duh naona bora nijipange kwanza ila nikiinga afe kipa afr beki lazima niliangushe

Nimeleta uzi kwa shida ya leo bwana nimeingia msalani gogo zito hapo sijasign leo siku ya 3 bwana kamua kamua wapi nikasema sitoki kapa oya wadada na wamama shikamooni maana ile ni zaidi ya kuzaq kitu kigumu alafu kinene kama mguu wa mtoto wa miaka 5 oya shida niliyopata siwezi kuwaeleza ila damu ilidondoka (hata mara y mwisho damu zilidondoka matone) kigogo kikagonga sink nikasikiaa koooooo nikasubiri damu ikate nikajisafisha nikatoka

Sasa hapa ndio naomba ushauri kwa mtu mwenye kipato kidogo afanyaje kuepuka hizi hali maana ni majanga hapa nikifikiri kuna siku nitahitajika kurudi kule natamani nisile kabisaaa

Ushauri

View attachment 2974630
Saiv una malinda bado?
 
Sio Mimi mkuu, ni waja wa dunia hao 🤣😂.
Sema itakuwa hiyo out ndo Wana zungumzia athari zake 😂
Dah hawanitakii mema mwenzao
Punguza kula magimbi mkuu
Siyapendi na hata ladha yake siikumbuki
Kunywa maji ya kutosha, kula matunda kama maparachichi na mapapai. Usiwe mvivu kwenda msalani, nenda msalani kila siku hakuna cha privacy binadamu wote tunakunya.
Yani leo nakunywa maji kama kichaa sema nahofia nikienda toi alafu kutonesha kidonda
Kwenye ushauri uliopatiwa kuhusu aina za milo uliyoambiwa, kunywa maji mengi na mengineyo
NYONGEZA: Kulingana na kazi yako ni ya kukaa kwa muda mrefu ongezea kufanya MAZOEZI kila siku at least 30 minutes
Poa ila mazoezi gani hayo
Mtindo wa maisha unaoishi ndio chanzo Cha tatizo, kuondoa tatizo Kwa haraka zaidi kanunue kwanza magnesium vidonge, tafuna vinne Kwa mkupuo, then Kila baada ya massa 2 unatafuna viwili, unaweza ukaharisha mpaka ujisikie Raha, baada ya hapo badili mfumo wa kuishi, acha kula ma ANDAZ usijibane ukihisi haja, tumia na metronidazole pia.
Duh mkuu kutafuna tena kumeza vipi?
 
Kwanza apo uliposema hupendelei majani Hilo ndo tatizo mana mboga za majani Zina nyuzinyuzi zinasaidia katika kulainisha chakula inasaidia kuzuia choo kigumu . Chengine ongezea na matunda nayo Yana nyuzi lishe pia na maji mengi kunywa sana tu
 
Wakuu mimi nikijana mdog tu sana hata 22 sijafika najitegemea ila nimepatwa na hili janga choo nakiona kuzimu kila nikibanwa na gogo natamani nijifiche

Kwanza mimi sio mlaji sana haswa kunakipindi najikuta maokoto jau hivyo napiga mlo mmoja ila nikipata pia najibutua chakula changu ni chips, dagaaa wali au ugali (hivyo ndivyo nakula sana maana sipendi nyama pia sipendi majani)

Nipipopqnga choo sio privacy sanaa hivyo najitahidi kwenda kuliangusha mida ya saa5 au 6

Ila tatizo situation kama hizo napitaga hata siku2 au 3 sometime 6 sijasign na hasa nikifikiria maumivu duh naona bora nijipange kwanza ila nikiinga afe kipa afr beki lazima niliangushe

Nimeleta uzi kwa shida ya leo bwana nimeingia msalani gogo zito hapo sijasign leo siku ya 3 bwana kamua kamua wapi nikasema sitoki kapa oya wadada na wamama shikamooni maana ile ni zaidi ya kuzaq kitu kigumu alafu kinene kama mguu wa mtoto wa miaka 5 oya shida niliyopata siwezi kuwaeleza ila damu ilidondoka (hata mara y mwisho damu zilidondoka matone) kigogo kikagonga sink nikasikiaa koooooo nikasubiri damu ikate nikajisafisha nikatoka

Sasa hapa ndio naomba ushauri kwa mtu mwenye kipato kidogo afanyaje kuepuka hizi hali maana ni majanga hapa nikifikiri kuna siku nitahitajika kurudi kule natamani nisile kabisaaa

Ushauri

View attachment 2974630
Sijazoma uzi wako lakini nakushauri kapime minyoo au jitahidi kufunga kula walau mara 2 kwa wiki
 
Yaani una kipato kidgo alafu unachagua chakula? Na mbaya zaid unajisifu kwamba huli mboga za majani.

Endelea hivyo hivyo na inapoelekea anal sphincters zitakuwa hazikabi tena na bawasiri haiko mbali.
 
Shida inaanzia hapa "Nilipopanga choo sio privacy sanaa hivyo najitahidi kwenda kuliangusha mida ya saa5 au 6".Unapobanwa na haja kubwa unatakiwa kama kuna choo karibu fanya uwezavyo kwenda kujisaidia,unapoahirisha unasababisha maji mengi kukauka kwenye haja kubwa,kwani hapo kilipo ni kwenye utumbo mpana ambapo maji yanafyonzwa kwa kiasi kikubwa na kukifanya kiwe kigumu,sasa badilisha huo mfumo wako na uongezee hapo angalau tunda moja kwa siku,utakuja kunishukuru...
 
Wakuu mimi nikijana mdog tu sana hata 22 sijafika najitegemea ila nimepatwa na hili janga choo nakiona kuzimu kila nikibanwa na gogo natamani nijifiche

Kwanza mimi sio mlaji sana haswa kunakipindi najikuta maokoto jau hivyo napiga mlo mmoja ila nikipata pia najibutua chakula changu ni chips, dagaaa wali au ugali (hivyo ndivyo nakula sana maana sipendi nyama pia sipendi majani)

Nipipopqnga choo sio privacy sanaa hivyo najitahidi kwenda kuliangusha mida ya saa5 au 6

Ila tatizo situation kama hizo napitaga hata siku2 au 3 sometime 6 sijasign na hasa nikifikiria maumivu duh naona bora nijipange kwanza ila nikiinga afe kipa afr beki lazima niliangushe

Nimeleta uzi kwa shida ya leo bwana nimeingia msalani gogo zito hapo sijasign leo siku ya 3 bwana kamua kamua wapi nikasema sitoki kapa oya wadada na wamama shikamooni maana ile ni zaidi ya kuzaq kitu kigumu alafu kinene kama mguu wa mtoto wa miaka 5 oya shida niliyopata siwezi kuwaeleza ila damu ilidondoka (hata mara y mwisho damu zilidondoka matone) kigogo kikagonga sink nikasikiaa koooooo nikasubiri damu ikate nikajisafisha nikatoka

Sasa hapa ndio naomba ushauri kwa mtu mwenye kipato kidogo afanyaje kuepuka hizi hali maana ni majanga hapa nikifikiri kuna siku nitahitajika kurudi kule natamani nisile kabisaaa

Ushauri

View attachment 2974630
Pole mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom