bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,370
- 24,660
Zinatoka wapi na unazithibitishaje uwepo wake.Ndoto ni illusion (mauza uza)
Imaginations tu katika usingizi.
Mwingine je akisema hakuna kitu kinaitwa ndoto akipo je
Zinatoka wapi na unazithibitishaje uwepo wake.Ndoto ni illusion (mauza uza)
Imaginations tu katika usingizi.
Utoto rahahata magar yakitazamana saiv jinsi yalivyo mengi barabarani yatakuwa yanasema hivi hivi kuwa sisi (magari) hatuna mwanzo wala mwisho tupo tupo tuu hatueleweki na tutaendelea kuwepo barabarani siku zote ...hayo magar hayajui kuwa kuna gari la kwanza lililo vumbuliwa na kiumbe ambaye ni binadamu..... bila shaka haya magari yatakuwa yanajidanganya tuu pasipokujua aliyeyavumbua (binadamu) akitaka anayatoa barabarani muda wowote na kuyaharibu au kuyatengeneza tena kama atakavoona yeye mwenyewe
Mkuu hii sio binadamu tu, kila kitu chenye asili ya hii dunia haikielezeki na akiwezi kufahamka kwa ukamilifu wake, ndio mana wametengeneza taasisi kama science na kuanzisha dini ili kuleta majibu ya kutunga na tusiwe na shauku ya kutaka kujua ukweli halisiHii ndiyo nadharia inayosemwa inatakiwa kukubaliwa na kila binadamu na ndiyo nadharia inayoitwa na baadhi ya watu kuwa ni kamilifu na timilifu.
Kuwa hakuna ajue wewe binadamu umetokea wapi na kwa nini upo ivo ulivo. Kuwa Binadamu hana kusudio lolote lile la kuwepo kwake duniani.
Na haileweki imekuwaje binadamu kuna mambo anayoyaita mema na mengine anayaita mabaya.
Hitimisho ni kuwa binadamu ni kiumbe kisichoelezeka.
Ndoto ni imaginations, Hazipo kwenye uhalisia.Zinatoka wapi na unazithibitishaje uwepo wake.
Mwingine je akisema hakuna kitu kinaitwa ndoto akipo je
Nitajie mwanzo na mwisho wa kuku au kuku sio kiumbeHii ndiyo nadharia inayosemwa inatakiwa kukubaliwa na kila binadamu na ndiyo nadharia inayoitwa na baadhi ya watu kuwa ni kamilifu na timilifu.
Kuwa hakuna ajue wewe binadamu umetokea wapi na kwa nini upo ivo ulivo. Kuwa Binadamu hana kusudio lolote lile la kuwepo kwake duniani.
Na haileweki imekuwaje binadamu kuna mambo anayoyaita mema na mengine anayaita mabaya.
Hitimisho ni kuwa binadamu ni kiumbe kisichoelezeka.
Na chanzo cha jua ni kipi?Chanzo cha uwepo wa binadamu ni jua.
Kama hakuna jua, basi hakuna uhai/maisha
Mawazo yanatoka wapiNdoto ni imaginations, Hazipo kwenye uhalisia.
Ndoto zipo kwenye mawazo ya kufikirika, Sio kwenye uhalisia.
Kwa nini unadhani kuku ana mwanzo?Nitajie mwanzo na mwisho wa kuku au kuku sio kiumbe
Kichwani kwenye ubongo.Mawazo yanatoka wapi
Una image kutoka wapi kwann uote upo upo Mwanza na haujawahi fika.Kichwani kwenye ubongo.
Binadamu ni kiumbe anayeelezeka isipokuwa amesahau alipotoka. Ukipotoza historia yoyote imhusiyo mhusika umempoteza mhusika. Ukipoteza historia umempoteza binadamu.Hii ndiyo nadharia inayosemwa inatakiwa kukubaliwa na kila binadamu na ndiyo nadharia inayoitwa na baadhi ya watu kuwa ni kamilifu na timilifu.
Kuwa hakuna ajue wewe binadamu umetokea wapi na kwa nini upo ivo ulivo. Kuwa Binadamu hana kusudio lolote lile la kuwepo kwake duniani.
Na haileweki imekuwaje binadamu kuna mambo anayoyaita mema na mengine anayaita mabaya.
Hitimisho ni kuwa binadamu ni kiumbe kisichoelezeka.
Mkuu chanzo chake Hakuna, ipo hivyo tu kama ilivyo.Swali la kizushi
Hivi utofauti wa Lugha za binadamu upo tu hauna chanzo chake?
Nguvu aliyonayo binadamu dhidi ya viumbe vingine na mazingira ya ulimwengu hakuna chanzo chake?
Binadamu hana kusudi la kuwepo kwake duniani?
Kwa nini binadamu huzaliwa wakati Iko siku atakufa. Huu mchakato wa kuzaliwa mpaka kufa hauna maana yoyote ile?
Roho ni nini?Ndoto ni maisha halisi yanayoendelea katika ulimwengu wa roho pindi mtu amelala.
Mwili unalala lakini Roho nafsi macho active havilali mda wote hadi kifo
Mwanza ipo tayari kwenye uhalisia.Una image kutoka wapi kwann uote upo upo Mwanza na haujawahi fika.