Wana JF Jukwaa la Historia,
Nimekuwa nikifanya majadiliano hapa sasa huu ni mwaka wa 11.
Nimegundua kuwa kuna wafuatiliaji wengi wa mijadala hii yetu ambayo wanauliza maswali ambayo kwa hakika nishayajibu mara nyingi sana.
Kwa nia ya kuondoa tatizo hili na kwa nia ya kusambaza elimu kwa wote...
Fasihi ya Mtandaoni ya China imefanikiwa kukonga nyoyo za wasomaji duniani kote kutokana na mtindo wake wa kipekee wa kusimulia hadithi, mandhari na kuchanganya mambo tofauti ya kitamaduni. Inatoa mtazamo mpya na unaovutia juu ya fasihi ya China, inayozingatia mambo mbalimbali yanayoteka...
Kwa kweli baadhi ya vyombo vya habari Tanzania kikiwemo Star TV bado Wana changamoto ya waandishi na wasomaji wa habari.
Yani mtu anasoma habari kama anaogopa studio au kawekewa bunduki kichwani. Kituo kikubwa kama Star TV kweli wanakosa wasomaji wa habari walio mahiri.
Huyu mdada aliesoma leo...
Katika moja ya Habari Uza yao ya Leo wameandika Kipumbavu kuwa Thamani ya Mchezaji wa Yanga SC aitwae Yanick Bangala inainunua Klabu nzima ya Rivers United FC ambayo Wanacheza nayo leo Jioni.
Nilidhani miaka ya nyuma hapa hapa JamiiForums nilipoanzisha Uzi wa Kuwasema Gazeti la MWANASPOTI (...
Nimeambiwa na watu kadhaa pamoja na watunzi suala hili wakipendekeza kuwa inafaa nipewe cheti maana nmekuwa nikiwapigania hasa.
Na waandishi kadhaa wameonekana kunishukuru kwa jinsi ambavyo nawakumbusha kwa upendo na unyenyekevu uso kifani suala la kuzingatia maslahi ya walaji yaani wasomaji...
By Erick Mange
Leo nakuja na maada hii nyeti kabisa katika maendeleo na kukua kwa lugha ya kiswahili katika nchi yetu na duniani kwa ujumla.
Mara kadhaa nmekuwa nkijiuliza kwanini tumeamua kutumia kiingereza kama lugha ya kufundishia wakati lugha ya taifa ni kiswahili?
Sipati majibu.. kuna...
Moja kwa Moja kwenye mada!
Ukiskiliza Tabiri za Hali ya Hewa kwenye Vyombo vingi vya Habari ni kawaida kuskia sentensi kama hizi "......Maeneo ya Pwani..... Maeneo ya kati ya Nchi pamoja na Kusini kwa Mkoa wa Morogoro.... kutakuwa na Mvua za Hapa na Pale..... kutakuwa na Mvua Kiasi.... na...
Tofauti kubwa iliyopo kati ya “MSOMAJI” na ‘MSOMI” ni kwamba mmoja husoma au kutamka kile kilichoandikwa “mbele” yake na mwingine husoma au kutamka kile kilichoandikwa “ndani” yake. Kwa lugha nyepesi tunaweza kusema mmoja huamini sana katika kile anachokiona kwa muonekano wa nje na kisha...
Nipo sehemu nimekaa kuna idadi kubwa kidogo ya watu, nilichokigundua ni kwamba asilimia 98 wanaosoma magazeti wanapitia habari za michezo na burudani.
Hili linanipa maswali kidogo kwa nini ipo hivi?
Je, hii inawezekana watu wamepoteza focus katika mambo mengine, au magazeti hayana tashwishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.