wahisani

  1. Dalton elijah

    Tanzania Inategemea Wahisani Kuendesha Bajeti ya Fedha

    Bajeti ya Tanzania kwa mwaka 2023/2024 ni Tsh trilioni 44.38, sawa na $17.6 bilioni. Mafungu makubwa mawili ya fedha zilizotengwa ni ulipaji madeni na uendeshaji wa shughuli za utawala. Bajeti ya Tanzania kwa mwaka 2023/2024 Katika fedha hizo Tsh trilioni 6.31 zitatumika kulipa deni la taifa...
  2. jemsic

    SoC03 Umefika wakati wa kujikwamua kutoka kwenye misaada isiyoheshima

    Picha: Swahilitimes UTANGULIZI Mara nyingi sana mataifa maskini yamekopa kwa mataifa yenye uwezo lakini hatukuwahi kuona nchi tegemezi zikijikwamua katika hali zake duni za kiuchumi kupitia misaada zinayopewa kwani misaada mara zote hudumaza. Tukitathmini kwa makini tutagundua hata katika nchi...
  3. L

    Wahisani Wachina watoa matumaini kwa vijana wanafunzi kwenye makazi ya mabanda nchini Kenya

    Wahisani wachina wanaendelea kuwapa matumaini wanafunzi vijana wanaosoma kwenye shule ya Mcedo Beijing iliyopo kwenye eneo la makazi ya mabandaduni la Mathare mjini Nairobi. Watoto hao wanaotoka kwenye mazingira magumu wamejiunga na shule hiyo kutokana na hisani ya wachina na sasa wanaweza...
  4. K

    Ushauri kwa Serikali kuhusu mikopo tunayopokea kutoka kwa wahisani

    Kukopa kutoka nje ni jambo jema sana ikiwa utatumia mkopo husika kutekeleza miradi ya maendeleo kwa manufaa ya wananchi. Tangu tupate uhuru 1961 mikopo tuliopata ni mabillioni ya dollar za Kimarekani. Tujiulize kuwa thamani ya mikopo hiyo na hatua ya maendeleo tuliopiga mpaka sasa inaoana...
  5. mwananyaso

    Swali kwa Serikali ya Awamu ya Sita kuhusu fedha za ufadhili toka kwa wahisani

    Kuna desturi ya hawa wahisani wanapotupatia pesa zao za misaada au mikopo yenye mashariti nafuu hutupangia pia na matumizi yake na kututaka tutii baadhi ya mashariti yao. Je, wakija taka kutupatia pesa kwa mashariti ya kuruhusu mapenzi ya jinsia moja tutazipokea? Nawasilisha kwa unyenyekevu...
  6. CM 1774858

    Rais Samia 2021/22 amepunguza mikopo na misaada kutoka nje

    Kwamsiofahamu, Rais wetu katika kuitegemeza bajeti ya Serikali tayari taratibu ameanza kupunguza misaada na mikopo ya wahisani mfano kwenye bajeti yake ya 2021|22 amepunguza kidogo kutoka 8.2% hadi 8.1% || Nikweli Tanzania tunapokea misaada ila hatuitegemei. " Hakuna kama Samia " Sisi...
  7. S

    Wahisani wanasubiri hukumu ya Mbowe na wao watoe hukumu yao kimyakimya au vinginevyo

    Kitendo cha Wahisani/Wadau wetu wa Maendeleo kuhudhuria kesi ya Mbowe lengo lilikuwa ni kutuma ujumbe kuwa kesi hii tunaofuatili na tunasubiri kuona mwisho wake(hukumu itakuwa ni ipi). Baada ya hukumu kutolewa, ni wazi na wao wataamua nini cha kufanya na kwakuwa hawezi kuhoji maamuzi...
  8. Analogia Malenga

    Rais Samia: Mikopo ya Wahisani ina Riba kubwa

    Rais Samia Suluhu Hassan amewaambia watanzania kwa sasa wahisani hawaleti misaada nchini, wanataka biashara ili kugawana faida Amesema kwa sababu hiyo ni lazima tujinyang'anye wenyewe ili kufadhili miradi ya nchi hii Ameyasema hayo alipokuwa Tegeta akisalimia wananchi akiwa katika safari ya...
  9. S

    Hivi Magufuli angekuwa ni Rais wa mojawapo ya Nchi Wahisani, angetoa misaada kwa nchi zinazoendelea?

    Ukweli ni kwamba, nchi zetu hizi zinazoendelea, hasa hizi za Afrika, hazipigi hatua kubwa kimaendeleo na kuondokana na umasikini kutokana na mambo kama rushwa, ubinafsi wa viongozi, kukosekana kwa utawala bora, demokrasia,katiba mbovu,vipaumbele vibovu, n.k. huku chanzo kikuu kikiwa ni nchi...
  10. E

    Niombe busara za CHADEMA zitumike kushughulikia wanaotutafutia njaa kwa wahisani

    Najaribu kukumbuka tukio la Chadema kuwasimamisha uanachama wabunge wake waliokataa kutii maagizo ya chama ya kutoingia bungeni kutokana na Sakata la COVID 19. Nakumbuka sakata la Chadema na Dk Slaa baada ya uchaguzi wa 2015. Kwa mtizamo Chadema ni chama ambacho hakivumilii "ujinga" kwa maana...
  11. J

    Prof Kabudi: Kati ya pesa na heshima ya nchi yetu, tutasimamia heshima. Tuko tayari kuwasikiliza na kujadiliana kwa heshima

    Prof Kabudi ambaye ni waziri wa mambo ya nje amesema Tanzania haiwezi kuyumbishwa na vitisho vya kunyimwa misaada. Kabudi amesisitiza kuwa Tanzania ni nchi huru inayoheshimu utu wa mtu na kamwe haitayumbishwa na nchi yoyote kwa vitisho vya kukatiwa misaada. Kuhusu uchaguzi Prof Kabudi amesema...
  12. Mystery

    Hivi ni kwanini nchi za wazungu kila wanapotupa misaada tunawaita wahisani wetu wa maendeleo lakini pale wanapotukosoa tunawaita mabeberu?

    Kuna msamiati mpya umetungwa hususani na watawala wetu wa serikali ya awamu ya 5 kwa kuwaita nchi za wazingu kuwa ni mabeberu, pale wanapotoa "constructive criticism" yenye lengo la kututaka tujirekebishe ili nchi yetu ipate ufanisi wa hali ya juu. Hata hivyo ajabu ni kuwa wazungu hao hao...
  13. S

    Wahisani wakibana kisawasawa, mbali na Wafanyabiashara kukamuliwa, hata sitting allowance za Wabunge zinaweza kutoweka

    Kutokana uchaguzi huu ulivyokwenda, binafsi naona kuna uwezekano wa asilimia 70 mpaka 80 wa wahisani na mashirika ya fedha ya kimataifa, kusitisha kutoa fedha zao kwa hii serikali unless zinafanyika jitihada kubwa sana za kidiplomasia huku serikali ikilazimika kuji-commit kwa baadhi ya mambo...
  14. S

    Nchi Wahisani hawatakubali kutoa fedha zao iwapo watabaini wapinzani wa kutumika ndio wataongoza kamati za fedha za Bunge

    Ni Imani yangu walioweka sharti kamati za Bunge: PAC, POAC na LAAC ziongozwe na Wapinzani, walijua umuhimu huo wakiamini wapinzani wana nafasi nzuri zaidi katika kuibana serikali kwenye suala zima la matumizi ya fedha za Umma na zile zinazotolewa na wahisani. Kwa sababu hiyo, naamini mpaka sasa...
  15. S

    Uchaguzi 2020 Kumbe kuna hatari ya kukosa Trilioni 2 kutoka kwa Wahisani kutokana na Kasoro za Uchaguzi(?)

    Anaandika Leonce Marto wa CHADEMA kupitia mtandao wa Twitter: Kanuni za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zinataka kamati za kudumu za PAC na LAAC ziongozwe na wapinzani, CHADEMA hatupeleki Wabunge wa Viti Maalum na hatutaki kunajisi chombo hiki muhimu cha wananchi. Mtakosa 2 Trillion...
  16. S

    Tundu Lissu akishinda urais, mikopo na hasa misaada, itaongezeka kutoka kwa Wahisani wa Maendeleo

    Huu ndio utabiri wangu kuwa,Lissu akishinda uraisi na kutangazwa mshindi kwa mbinde au vinginevyo, nchi wahisani na wadau wengine wa maendeleo wataongeza misaada na mikopo yao kwa nchi yetu na inaweza kuongezeka hata mara mbili. Ni imani yangu wanatoa mikopo na misaada kwa sasa kwasababu tu...
  17. S

    Naomba ufafanuzi toka wafuasi wa CCM na viongozi wao - Mabeberu ni kina nani, ni nchi wahisani au wafadhiri?

    Hivi karibuni hili neno limekuwa likitumika kila wakati, na kuna wakati namsikia hata Raisi Magufuli akilitumia - mabeberu. Nimeona kuwa wakati fulani hata vyama vya upinzani wakiambiwa ni marafiki wa mabeberu. Wakati fulani nimeona kwamba neno mabeberu linaelekezwa kwa mataifa tajiri ya nje...
  18. Kaka Pekee

    Hili la Wakorea kutoa 400,000/-Tshs kwa kila wanandoa Mitaani vipi?

    Wikiendi hii nimerudi Bongo na nimekuja kutembelea Uswahilini kwetu huku Mtaa wa Azimio, Kigogo Luhanga nimepata habari zenye Kiulizo inabidi niulize Wanajamvi humu ndani. Serikali ya Mtaa ya huku Mtaani imekuwa ikiandikisha wakazi wa hapa ( Wanandoa)/ (Wenza wanaoishi pamoja) na kuwapiga Picha...
Back
Top Bottom