waandamanaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MK254

    Trump aahidi kuwatimua waandamanaji, kuwarudisha kwao

    Kwenye hili namuunga mikono, tupa nje warudi kwao Uarabuni.... “One thing I do is, any student that protests, I throw them out of the country. You know, there are a lot of foreign students. As soon as they hear that, they’re going to behave,” Trump said on May 14, according to donors at the...
  2. Webabu

    Waandamanaji wanaoiunga mkono Hamas wateka jengo chuo kikuu cha Columbia

    Katika hali inayoonekana kuongezeka kwa maandamano ya kuiunga mkono Hamas na kuilaani Israel huko chuo kikuu cha Columbia nchini Marekani,waandamanaji hao wameteka moja ya jengo la chuo kikuu hicho. Utekaji huo ulifanyika muda mfupi kabla ya onyo lililotolewa na kuondoka kwenye mahema...
  3. M

    Machifu Mbeya wapinga maandano ya CHADEMA ,wadai watahakikisha waandamanaji haoni njia.

    By any means necessary Machifu Mbeya hawataki maandamano ya Chadema👇
  4. Influenza

    RC Chalamila akutana na Waandamanaji wa CHADEMA. Awatakia heri kwenye maandamano na kuwasihi kufikisha ujumbe walipokusudia

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewatakia kila la heri wafuasi wa CHADEMA waliokutana maeneo ya Mbezi Mwisho stendi ya Magufuli kwa ajili ya kuanza maandamano ya amani na kuwataka kuulinda uwekezaji uliopo ndani ya Jiji hilo wasiuharibu na badala yake wafikishe ujumbe...
  5. Tlaatlaah

    Nawaombea baraka na neema za Mungu waandamanaji wote kesho Jan, 24

    Mwenyezi Mungu Abariki Mawazo, Maneno na Matendo ya waandamanahi wote, daima yawe ya ustaarabu, utulivu, ungwana, upendo na amani tangu mwanzo hadi mwisho wa maandamano yenyewe. Wasiohusika wasibughudhiwe, wasiguswe, wasilazimishwe kushiriki maandamano, wasizomewe wala kudhulumiwa chochote...
  6. Webabu

    Jenerali mstaafu Yair Golan asema hawawezi kuwafuata Hamas ndani ya mahandaki. Nyumba ya Netanyahu yazingirwa na waandamanaji

    Mambo yanazidi kuchukua sura mpya ambayo haikutarajiwa katika vita vinavyoendelea Gaza. Kwanza general mtaafu wa jeshi la IDF aliyepewa kazi kuongoza kikosi cha wastaafu wenzake,Yair Golan amesema vikosi vya IDF visije vikajaribu kuwafuata wapiganaji wa Hamas kwenye mashimo yao. Huo ni mtego...
  7. BARD AI

    Maputo: Polisi watumia Mabomu ya Machozi na Kujeruhi Waandamanaji wanaopinga Matokeo ya Serikali za Mitaa

    Polisi Jeshi la Polisi jijini Maputo limetumia Mabomyu ya Machozi kuwatanya Waandamanaji wa Upinzani huku wengine wakijeruhiwa kutokana na kupinga matokeo ya Uchaguzi uliofanyika Wiki moja iliyopita wakidai Chama Tawala (FRELIMO) kiliiba Kura. Maandamano hayo yanafuatia uamuzi mwingine wa...
  8. BARD AI

    DR-Congo: Maafisa wa Jeshi walioagiza Askari kuua Waandamanaji wakamatwa

    Wizara ya Mambo ya Ndani imewataja waliokamatwa ni Mike Mikombe, Mkuu wa Kikosi cha Walinzi na Donat Bawili, Kiongozi wa Jeshi katika mji wa Goma, wote wawili wanadaiwa kuagiza Wanajeshi kuwaua Waandamanaji. Kwa mujibu wa Ripoti ya Wizara, Vikosi vya Usalama viliingilia maandamano ya Waumini wa...
  9. T

    Sweden: Waandamanaji wachana chana Quran hadharani, Ubalozi wa Sweden Baghdad wachomwa moto

    Waandaaji nchini Sweden wachana chana Quran na kupiga teke Quran hadharani jana siku ya Alhamisi, tarehe 20 July 2023. Waandamanaji hao walitishia kuichoma Quran lakini baadae wakaahirisha na kuchana chana quran hadharani. Hatua hiyo imepelekea mabaloxi wa Sweden kuitwa na kuhojiwa kwenye nchi...
  10. BARD AI

    Baraza la Habari Kenya lakemea Polisi kujifanya Waandishi wa Habari ili wakamate Waandamanaji

    Kupitia taarifa iliyotolewa na Baraza la Habari Kenya (MCK) imeeleza kuwa kitendo hicho kilichofanywa na baadhi ya Maafisa wa Usalama kimewaweka hatarini Waandishi wa Habari na kazi zao. Katika video iliyonaswa katika Maandamano ya Julai 19, 2023, imeonesha Afisa wa Polisi aliyejifanya kuwa...
  11. Cannabis

    Iran: Wizara ya Mambo ya Nje nchini Iran yawasihi Raia wao kuepuka safari zisizo na lazima kwenda Ufaransa kufuatia machafuko yanayoendelea

    Wizara ya Mambo ya Nje nchini Iran imewashauri Wairani dhidi ya kufanya safari zisizo za lazima nchini Ufaransa huku kukiwa na machafuko yanayoendelea. Pia Wizara hiyo imeishauri polisi na serikali ya Ufaransa kujizuia kutumia mabavu kutuliza vurugu zinazoendelea na kuzingatia matakwa ya...
  12. BARD AI

    DPP afuta kesi za Viongozi 6 wa Upinzani na kuahidi kuwaachia waandamanaji zaidi 200

    Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma (DPP) wa Kenya, Noordin Haji amefikia uamuzi wa kuondoa kesi hizo katika Mahakama ya Sheria pamoja na kuahidi kufuta zaidi ya kesi 200 dhidi ya Wafuasi wa Azimio nchini kote. Waliofutiwa kesi ni Mbunge wa Ugunja, James Opiyo Wandayi, Seneta wa Kilifi, Stewart...
  13. BARD AI

    Jeshi la Polisi Kenya lashutumiwa kutumia nguvu kubwa kudhibiti Waandamanaji

    Tume ya Kitaifa ya Haki za Kibinadamu ya Kenya, (KNCHR) imeitaka Serikali kuchunguza Vitendo vya Ukiukwaji wa Haki za Binadamu vilivyofanyw ana Polisi kupitia Uharibifu, Ukamataji, Kujeruhi na Matumizi ya Risasi za Moto dhidi ya Waandamanaji. Taasisi ya KNCHR inayofadhiliwa na Serikali imesema...
  14. JanguKamaJangu

    Kinachoendelea Maandamano Nchini Kenya, Machi 20, 2023

    VIONGOZI WA UPINZANI WAKAMATWA, RAIA APIGWA RISASI Seneta wa Kilifi, Stewart Madzayo pamoja na Wabunge Amina Mnyazi na Ken Chonga, wanaripotiwa kushikiliwa na Polisi kwa kushiriki maandamano ya kuipinga Serikali katika Mji Mkuu, Nairobi Hadi hivi sasa Raia kadhaa wanaripotiwa kushikiliwa huku...
  15. JanguKamaJangu

    Kenya: Waandamanaji Kisumu wabeba masufuria na mfano wa jeneza

    Baadhi ya wafuasi wa Azimio wameshiriki katika maandamano yaliyofanyika katika Mji wa Kisumu wakipinga gharama ya maisha kuwa juu na kushinikiza Serikali ya Rais William Ruto kuchukua hatua. Baadhi yao wakiwa wakiwa na masufuria, miko mabango yaliyoandikwa ‘Njaaaa!’ huku wakisikika wakiimba...
  16. BARD AI

    Eric Omondi na waandamanaji wenzake waachiwa kwa dhamana

    Mchekeshaji huyo maarufu alikamatwa Februari 21, 2023 nje ya maeneo ya Bunge akiwa na kundi la waandamanaji waliokuwa na mabango yenye jumbe za kuionesha Serikali kuwa Wananchi wana hali ngumu ya maisha. Omondi na waandamanaji wengine 17 wameshtakiwa kwa makosa ya kukusanyika kinyume cha Sheria...
  17. JanguKamaJangu

    Brazil: Waandamanaji 1500 wakamatwa, aliyekataa matokeo ya Urais amelazwa Marekani

    Waliokamatwa ni wafuasi wa Rais aliyepita, Jair Bolsonaro ambao walivamia Bunge, Mahakama ya Juu na Ikulu Jijini Brasilia ikiwa ni wiki moja baada ya Luiz Inacio Lula da Silva kuapishwa kuwa Rais. Rais da Silva amelaani maandamano hayo na kuita ni ghasia za kigaidi na kuahidi kuwashughulikia...
  18. JanguKamaJangu

    Iran: Waandamanaji wawili wanyongwa wakituhumiwa kumuua afisa usalama

    Mohammad Mahdi Karami na Seyed Mohammad Hosseini walihukumiwa kunyongwa wakakata rufaa wakidai wakiteswa na kulazimishwa kukiri makosa. Baada ya tukio hilo, hukumu za walionyongwa kutokana na kushiriki maandamano sasa imefika watu wanne. Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Amnesty...
  19. JanguKamaJangu

    Iran: Waandamanaji 100 wadaiwa kukabiliwa na hukumu ya kifo

    Taarifa ya Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Norway (IHR) lenye makazi yake Nchini #Iran ni kuwa idadi hiyo ya watu wanakabiliwa na hukumu hiyo [amoja na kesi za mauaji. Wanawake watano ni kati ya waliopo kwenye hukumu hiyo na inadaiwa idadi ya watuhumiwa inaweza kuwa kubwa zaidi kwa kuwa...
  20. JanguKamaJangu

    Chad: Waandamanaji 260 wahukumiwa kwenda jela

    Mahakama imetoa hukumu ya hadi miaka mitatu kwa waandamanaji hao ambao walishikiliwa katika maandamano ya Oktoba 2022 ambao wanasheria waligomea mchakato wa kesi wakiamini haukuwa wa haki. Zaidi ya watu 400 walikabiliwa na mashtaka, ikiwa ni pamoja na kushiriki katika mkusanyiko usioidhinishwa...
Back
Top Bottom