reli

Reli (also spelt as Relli) are an ethnic group, who reside in Indian states of Andhra Pradesh and Odisha.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    Kampuni ya Elsewedy ipo katika mazungumzo kuwekeza katika reli na kiwanda cha mbolea

    ..nisiongeze wala kupunguza maneno. ..kampuni ya Elsewedy ya Misri kuwekeza ktk miradi mbalimbali mikubwa hapa Tz. https://www.elsewedyelectric.com/en/about-us/our-journey/ https://www.youtube.com/results?search_query=waziri+mwambe+afunguka+ujenzi
  2. Petro E. Mselewa

    Nimeguswa na ubunifu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), nawapongeza na kuwataka waongeze ubunifu

    Jumapili ijayo, klabu za Simba na Yanga zinapambana kwenye mchezo wa fainali wa Kombe la Shirikisho almaarufu kama Azam Conf. Cup. Mchezo huo kabambe ambao unabeba tukio kubwa la kisoka nchini utapigwa kwenye uwanja wa Ziwa Tanganyika mkoani Kigoma. Katika kuchagiza na kusherehesha mechi hiyo...
  3. L

    Reli ya Kisasa ya SGR yaleta mabadiliko katika sekta ya uchukuzi wa shehena na abiria nchini Kenya

    Ikiwa ni zaidi ya miaka minne sasa tangu reli ya kisasa ya Mombasa-Nairobi nchini Kenya kuanza kutumika, sekta ya uchukuzi wa shehena na abiria imepata mabadiliko makubwa na kusaidia ukuaji wa uchumi na ajira. Kufikia sasa, zaidi ya abiria milioni tano wamefaidika na uchukuzi wa bei nafuu...
  4. The lost

    USHAURI: Shirika la reli uzeni mali zote ambazo hazitumiki mathalani Vyuma chakavu

    Nimepita maeneo mbalimbali nimejionea namna shirika la reli limekuwa likitunza mavyuma chakavu kama mabehewa mataruma na makaravati ambayo yamechakaa. Hivyo nashauri mali hizo ziuzwe kama malighafi kwa viwanda vyetu vya ndani vya kutengeneza material ya chuma (steal industry) ili tuweze kupata...
  5. Sam Gidori

    Pakistan: Zaidi ya watu 30 wafariki baada ya treni mbili za abiria kugongana

    Treni mbili za abiria zimegongana nchini Pakistan mapema siku ya Jumatatu na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 30, huku wengine zaidi ya 100 wakijeruhiwa. Treni moja, Millat Express ilitoka nje ya reli kabla ya kugongwa na treni nyingine, Sir Sayed Express. Haijafahamika mara moja...
  6. MK254

    Rais wa Burundi kuja kukagua bandari ya Kisumu, ikumbukwe tumeunga reli ya moja kwa moja kutokea Mombasa

    Mambo yanazidi kuwa kizazi zaidi, ngoma inogile, bandari yetu ya Kisumu inazidi kuwasha moto na kukaa mkao wa kula... Mwanza na Kanda ziwa Tanzania ni soko kubwa sana ukilitia mfukoni, tutie kwapani Burundi, Rwanda na Uganda..... ================================...
  7. Corticopontine

    Kipande cha SGR Morogoro to Makutupora 61%

    PICHA: Kazi za ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) kipande cha Morogoro – Makutupora, Dodoma (KM 422) zinaendelea ambapo Ujenzi wa kipande hicho umefikia 61%. Ujenzi wa Reli hiyo ya Kisasa unatarajiwa kuwekwa mifumo ya kisasa ambayo itamdhibiti mwendeshaji wa Treni kutovuka spidi iliyowekwa. ====...
  8. Uzalendo wa Kitanzania

    Rais Samia Afanya Mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Reli Tanzania (TRC)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzay Mheshimiwa Samia Suluhu leo Mei 22, 2021 amekutana na kufanya Mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania ( TRC) Masanja Kadogosa Katika mazungumzo hayo muhimu yaliyofanyika Ikulu pamoja na mambo mengine walijadili maendeleo ya Mradi wa...
  9. MK254

    Kijana wa kike, mzalendo anayesimamia ukarabat wa reli kilomita 217

    Duh! Akina dada wamechoka kutumiwa na za kutolea, wameamua kuongoza shughuli kwa mbele Eng. Veronica Nyambura (right) with Rift Valley Commander George Natembeya (cemter) on Monday, March 21, 2021. TWITTER For years, the engineering industry was considered a preserve for the male gender but...
  10. C

    Uchaguzi 2020 Ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) 2020-2025

    CHAMA CHA MAPINDUZI MUHTASARI WA ILANI YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2020 Imetolewa na Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Agosti, 2020 CHAMA CHA MAPINDUZI MUHTASARI WA ILANI YA UCHAGUZI WA MWAKA 2020-2025 UTANGULIZI 1. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, chini ya uongozi wa vyama vya TANU na ASP na...
  11. MK254

    Mizigo ya kwenda Ethiopia kuanza kutumia reli ya Kenya

    Kenya intends to use recently refurbished Nanyuki metre gauge railway to transport cargo to Ethiopia from the Mombasa port as it targets growing industrial activities at the border. Kenya Ports Authority chairman Joseph Kibwana said plans are underway to have cargo transported from Mombasa via...
  12. MK254

    Wakazi wa mkoa wa Mwanza Tanzana kunufaika na huduma ya reli ya Nairobi hadi Kisumu, yajayo raha tu

    Hayawi hayawi huwa... Kenya Railways Corporation (KRC) has begun refurbishing 31 trains ahead of the launch of Nairobi - Kisumu train service. In a statement shared on Wednesday, April 28, the corporation noted that the refurbishment is being done by the state-owned Numerical Machining Complex...
  13. K

    Serikali na kampuni za simu zilivyotoa watumiaji kwenye reli

    Amani iwe kwenu! Kwa wale ndugu zangu mliosoma biashara kuna somo linaitwa Strategic Management, kwa kifupi somo hili linaangazia zaidi juu ya kuanzisha, kutekeleza na kupitia au kurejea mikakati yaani kwa kimombo wanasema stategic managment is about formulation, implementation and Review /...
  14. Marathon day

    Ubaguzi kwenye usaili Dodoma standard gauge

    Usaili mradi wa reli ya mwndo kasi ni shida, wanaofanya usaili na wako vizuri wanaondolewa na wanaingizwa wenye pesa na wanojulikana tu. Bila kujali mtu amekaa hapo zaidi ya wiki ametoka mbali ngarama zote mpaka vipimo juu yako halafu mtu anaambiwa amefeli arudi nyumbani, Serikali ingilieni...
  15. Kikusya

    Nini kifanyike ili reli ya Kaskazini isife kama ilivyokufa mwanzo?

    Mimi sijui kwa nini ile reli yetu ya kaskazini ilikufa na tufanyeje ili hii iliyofufuliwa isife kamwe? Tumejifunza mengi sana kwa hayati John Magufuli, na Mungu amuweke mahala pema peponi. Mimi nahamini kila binadamu ataenda peponi na hilo ndiyo kusudio la Muumba wetu. Je kuna nini cha...
  16. 2019

    TRC huenda likawa shirika la kwanza kufa mara hii

    Mods naomba msifute uzi huu kwa maslahi ya taifa kwa ujumla. Kiukweli kwa hali jinsi inavyoenda miaka miwili itakuwa mingi treni ya Deluxe kutoka Dar kwenda Arusha itakufa. Kwa Kigoma sijajua maana ni wavumilivu sana, sio walalamishi Tunakumbuka jinsi mwendazake (JPM) alivyotumia nguvu na...
  17. William Mshumbusi

    Nyerere na Wachina waliwezaje kujenga reli ya TAZARA kwa miaka minne tu KM zaidi ya 2000?

    Je, kuna hujuma za muda wa kukamilika mradi unaofanywa na makandarasi? Reli ya TAZARA ilipitia njia ngumu Sana yenye milima na mabonde mengi. Lakini mradi ulichukua muda mchache Sana. Ilijengwa kwa miaka tokea '70 mpaka '75 tu. Yenye taaluma za zege Kama hii ya kisasa. Kilomita zaidi ya 1800...
Back
Top Bottom