michango

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pdidy

    Kuna vikundi vilitangaza kugawa vifaranga bure, lakini wameanza kuwatoza hela waliojitokeza

    Ndugu wapendwa Kumezuka upatu nyingine kwa style tofauti Hivi sasa kuna makampuni yanajitangaza kutoa vifaranga/vyakula vyake bure kwa wananchi Wameanza kukusanya watu kila kona ya Tanzania wakihadaa kuwapa vifaranga na vyakula bure Baada ya kufikia malengo ya idadi..Vile vikundi havijapewa...
  2. M

    Hivi kuna tatizo gani CHADEMA? Linapokuja suala la michango mbona hamuiweki wazi?

    Nashangaa sana mpaka napigwa na butwaa kubwa. Hivi pesa alizokusanya Mbowe mitaani akijoinisha watu ze chain ni siri? Kwa nini zisitangazwe kiasi kilichopatikana na kuwapa morali wachangiaji? Au ndio kale kamtindo kenu kanaendelea? Wekeni mambo hadharani kujenga imani kwa wananchi.
  3. goukun wadey

    Fedha za 'speed test' kila siku na michango ya kila Alhamisi inayotozwa Shule ya Msingi Gongolamboto Jeshini ni utaratibu wa kawaida maeneo mengine?

    Wandugu, shule ya msingi Gongolamboto Jeshni inapatikana kwenye halmashauri ya jiji Ilala, kuna kodi au makusanyo yanafanyika pale ambayo natamani kujua ikiwa ni utaratibu wa kawaida au kungineko ipo kama hapo. Kuna kodi au makusanyo ya pesa yanayotokana na kitu inaitwa speed test ambayo ni tsh...
  4. H

    Michango ya ujenzi wa madarasa imekuwa kero Kata ya Ubaruku, Rais Samia tusaidie

    Kwanza nikupongeze kwa mwaka mmoja wa kuwa madarakani binafsi naona Mambo yamenyoka kidogo tofauti na Serikali ya Awamu ya Tano ambapo Uhuru wa kujieleza ulibanwa kweli kweli. Naomba niende kwenye keep yangu. Mh Rais sisi wakazi wa wilaya ya Mbarali kata ya Ubaruku mkoani Mbeya tunaomba...
  5. Kamanda Asiyechoka

    Katiba mpya kwa sasa hatuhitaji, chaguzi hatushiriki. Sisi tupotupo na haijulikani tunataka nini. Au tunataka michango tu ya wananchi?

    Kama chama kikuu cha upinzani sisi tunahitaji nini kwa sasa? Katiba mpya ingetupatia tume huru na tungeshinda chaguzi kihalali. Chaguzi zikifanyika hatushiriki hii ni kwa sababu tulishasema hatutashiliki chafuzi za wezi wa kura Sasa chama chetu cha Chadema kipokipo tu na hakina muelekeo zaidi...
  6. Ileje

    Kwanini baadhi ya wilaya michango ya vyumba vya madarasa inaendelea?

    Wote tunafahamu mwaka jana Rais Samia alipata mkopo wa civid-19 wa takribani Shilingi trilioni 1.5, fedha ambazo zimetumika kujenga vyumba vya madarasa na Hospitali. Watanzania tukaaminishwa kuwa sasa changamoto ya madarasa na madawati imekuwa historia. Cha kushangaza kumeibuka tena wimbi la...
  7. Idugunde

    Rose Mayemba: Wanachadema toeni michango, tuna njaa kali. Hii njaa ni kali tutashindwa kudai demokrasia

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Njombe Rose Mayemba,baada ya kuzinduliwa mpango mahususi wa kuchangia Chama (Join the chain) ametoa wito kwa wanachama kuendelea kutoa michango kwa kuwa haiwezekani kudai demokrasia ya kweli wakiwa na njaa. https://t.co/UWwleS0fUi
  8. F

    TAMISEMI na Wizara ya Elimu, michango mashuleni imerudi?

    Nimeona nilete hii hoja hapa jukwaani ili wahusika waweze kuipata na ikiwezekana kuitolea ufafanuzi. Huko mashuleni sasa hivi kuna Michango ya hapa na pale. Je, bila malipo imeisha?
  9. Chura

    Tafakari juu ya maisha ya watu mashuhuri kama Prof. Jay na uhalali wa kuomba michango ya matibabu

    Anaandika mdau kutoka Facebook, Sibezi upendo wa serikali yetu chini ya mh.@Samia Suluhu lakini hatua ya serikali kutangaza kugharamia matibabu ya ndugu Prof. Jay ni aibu kwa taifa. Ndugu yetu Joseph Haule 1. Amekuwa msanii mkubwa hapa nchini kwa zaidi ya miaka 20 basi tuseme hakukosa 1DOM...
  10. W

    Wafanyakazi wa G4S tuliohamishiwa Zanzibar tunaomba ofisi ihamishie michango yetu ya Hifadhi ya Jamii NSSF kutoka ZSSF

    Sisi ni wa wafanyakazi tuliohamishiwa Zanzibar toka Bara kwa ajili ya kufanya kazi za ulinzi kwa miaka na siku tofauti. Tulipohamishiwa hapa visiwani kampuni yetu ya G4S ilitupatia mishahara yetu na kutuma michango yetu ya mifuko ya hifadhi ya jamii kama ada katika mifuko yetu ya hifadhi za...
  11. Zero Competition

    Michango makanisani chanzo umaskini

    Hivi ushawahi kujiuliza kwanini siku hizi michango makanisani imekuwa mingi kuliko miaka ya zamani ?? Siku hizi kumekuwa na michango mingi sana makanisani kiasi kwamba hupelekea baadhi ya waumini kuacha kuhudhuria makanisani kwaajiri ya ibada Halafu Kuna tabia moja imezuka kwamba inapotokea...
  12. Idugunde

    Mpasuko mkubwa CHADEMA Mbeya mjini, Msigwa avunja uongozi huku walioondolewa wakimpinga. Ni mparaganyiko mkuu

    Mpasuko mkubwa umeukumba uongozi wa Chadema Mbeya mjini na hii ni dalili kuwa hawako kwenye good terms. Sijui lini watafika mbali =========== Mchungaji Msigwa: Tumeuvunja uongozi wa jimbo la Mbeya mjini na tunawapa mkoa siku tatu kwa mujibu wa katiba kama nilivyosema kuunda timu(Task force)...
  13. kavulata

    Timu ya wananchi kujenga uwanja kwa michango sio sawa

    Bila kuwa Na makubaliano kuhusu namna ya kugawana mapato yatakayotokana Na uwanja uliojengwa Na wanachama Na mashabiki kwa michango yao ya mifukoni itakuja kutokea vurugu kubwa sana huko mbele ya safari. Lazima mgawanyo wa faida itakayotokana Na uwanja kwa wanahisa ifahamike kabla watu...
  14. Jabali la Siasa

    Waziri Ummy: Nakataza Michango Mashuleni, asiyekuwa na Sare za Shule acha asome

    === Waziri wa TAMISEMI, Mhe Ummy Mwalimu amekemea utozaji wa michango mbalimbali kwa Wanafunzi Shuleni sanjari na vitendo vya baadhi ya Walimu kuwazuia Wanafunzi kuingia Shuleni kwa kukosa sare na mahitaji mengine yanayohitajika Shuleni hapo. Amesema vitendo hivyo havikubaliki na kwamba Walimu...
  15. S

    Simba wadhamiria kukamilisha uwanja wao, Mo Dewji achangia Bilioni 2

    Nimepokea maoni mengi ya WanaSimba wenzangu wakishauri tujenge uwanja wetu na wako tayari kuchangia ili tufanikishe ujenzi huo. Naomba kuweka wazi kwamba nimepokea maoni hayo kwa mikono miwili. Naomba Bodi ya Simba kukaa na kuja na utaratibu wa haraka ili jambo hili lianze utekelezaji. Kwa...
  16. Kamanda Asiyechoka

    ACT Wazalendo michango ya nini wakati mna ruzuku na mnaunda Serikali?

    Mkutano Mkuu @ACTwazalendo ⁃Kuchagua Mwenyekiti wa Chama Taifa ⁃Kuchagua Makamu Mwenyekiti wa Chama ⁃Kuzindua Mfumo wa kisasa wa uandikishaji Wanachama ⁃Kuzindua Mkakati mpya wa Siasa ili kuimarisha Demokrasia TUNAOMBA MCHANGO WAKO KUFANIKISHA MKUTANO WETU https://t.co/8e1AA2HLEz
  17. Hero

    Utitiri wa michango shule zetu za Msingi na Sekondari inaashiria nini?

    Tangu Magu atutoke (rest in peace our hero), tumeshuhudia utitiri wa michango kwenye shule zetu za elimu bure tena isiyo na stakabadhi halali ya Serikali pindi ulipapo. Mara mchango wa Maji ya kuflash vyooni (wasilete kwenye vidumu bali cash). Mara mchango wa mitihani/majaribio! Mara ya...
  18. Analogia Malenga

    Taifa Stars yachangiwa Bilioni 1.6 ili wafuzu kombe la dunia

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Watanzania pamoja na wadau wa soka nchini kuungana kwa pamoja na kuhakikisha timu ya Taifa ya Tanzania ya mpira wa Miguu (Taifa Stars) inafanya vizuri kwenye michezo yote iliyobaki ili kufuzu kushiriki kombe la Dunia litakalofanyika nchini Qatar 2022...
  19. peno hasegawa

    Cyprian Musiba Anadaiwa zaidi ya Tsh13 bilioni kwa amri za Mahakama Kuu, iwapo atashindwa kulipa ni nini hatma yake?

    Cyprian Musiba, kulingana na kiasi kikubwa cha fedha anazodaiwa kuzilipa, kwa kupitia amri za mahakama kuu, ni nini madhara yake iwapo hana uwezo wa kuzilipa na hana mali za kuuzwa ili kupata Tsh 13 bilioni? Mimi ninaona dalili za Cyprian Musiba kukimbilia ughaibuni .
  20. byakunu

    Changamoto ya michango ya harusi

    Suala la michango ya harusi wenzangu limekua changamoto sana katika jamii na kwa baadhi ya wenzangu sijajua na nyie kwenu wana jamvi tusaidiane mawazo. Wakati unaoa wewe unaomba michango na una post kwenye magroup ya classmates, work mates na majirani kuna watu watakuchangia na wengine hawata...
Back
Top Bottom