matapeli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GoldDhahabu

    Sheria zetu zimeshindwa kuwathibiti matapeli wa ardhi?

    Haya ni miongoni mwa "mauozo" machache: 1. Kiwanja kimoja kumilikishwa kwa watu zaidi ya mmoja 2. Wamiliki halali wa rdhi kupokonywa maeneo yao kinyemela 3. Shamba au kiwanja kimoja kuuzwa kwa zaidi ya mtu mmoja. 4. Watu kuuziwa mashamba/viwanja hewa Wauzaji wa viwanja hewa, kwa mfano...
  2. O

    Je, Makocha wa timu za vijana ni matapeli au ni wachezaji wetu wagumu kuelewa?

    Wakuu jana nilipata fursa ya kuangalia mashindano ya under 20 kwa timu za ligi kuu kati ya azam na dodoma jiji. Kiukweli nilichokiona kilinisikitisha sana. Wachezaji wa under 20 kwa kawaida ungetegemea wawe na viwango kuonyesha wapo tayari kiuchezaji kutokana na umri wao. Lakini huwezi kuamini...
  3. Magomola

    Kiwanja cha NCCR MAGEUZI chauzwa Dar

    KIWANJA kinachomilikiwa na chama cha NCCR MAGEUZI, kilichopo eneo la Mbopo, kata ya mabwepande, wilaya ya Kinondoni jijini Dar es salaam kimeuzwa na matapeli wiki chache zilizopita. Baadhi ya wananchi wa mtaa wa Mbopo wamesema kuwa kiwanja hicho kimenunuliwa wiki chache zilizopita na mmiliki...
  4. GoldDhahabu

    Sheria ya madai Tanzania inawapendelea matapeli?

    Kwenu wajuvi wa Sheria! Kwenye clip hapo chini ni malalamiko ya mtu anayedai kutapeliwa. Tukio lilitokea Arusha. Mlalamikaji aliuziwa shamba la ekari 2 kwa milioni hamsini na nne. Lakini alipotaka kuanza kulitumia shamba lake, alilikuta limeuzwa kwa mtu mwingine. Mtuhumiwa alifunguliwa kesi...
  5. GENTAMYCINE

    Waziri Dk. Gwajima kumkamata huyo Dada wa Nyoka kwa Utapeli na kuwaacha Matapeli wa Kawe, Buza kwa Lulenge na Kimara Temboni ni Unafiki mkubwa

    Tena Mimi naona huyo Dada wa Nyoka ana Nafuu kwa huo Utapeli ila Matapeli halisi na Wezi wa Umasikini wa Watanzania wengi kwa njia ya Imani yao ya Uwongo na Kweli wako Tanganyika Packers Kawe, Buza kwa Lulenge na Kimara Temboni.
  6. Analogia Malenga

    Je, serikali ni matapeli?

    Wanahabari wamelalama kuwa wanadai serikali jumla ya bilioni 18 za kitanzania. Haya malimbikizo ya madeni kwa miaka kadhaa ambayo yametajwa kuathiri uchumi wa vyombo vya habari. Suala la madeni sio tu kwa sekta ya habari, nimesikia wadau kadhaa wakilalamika kutolipwa na serikali kiasi cha...
  7. M

    Dkt. Tulia spika wa bunge jitokeze hadharani ukemee jina lako kutumiwa na matapeli

    Wanajukwaa natumaini mnaendelea vizuri. Kwawale wenye changamoto nawapa pole na kuwaombea kwa Muumba ahueni ipatikane. Nikienda kwenye mada nikwamba vipo vikundi au taasisi zinazojihusisha na mikopo tena kwakutumia majina ua viongozi wa chama na serikali na wafanya biashara wakubwa. Miongoni...
  8. olimpio

    Kuna shida ya kupambana na matapeli mitandaoni

    Nimepitia report ya Mamlaka ya mawasiliano ya past three months(iliyotoka mwezi huu) report Nimeona kitu cha ajabu sana , kila report hizi za TCRA zikitoka , mikoa miwili ya Rukwa na Morogoro inaongoza kwa utapeli mitandaoni , kuna maswali magumu sana najiuliza 1. Taasisi zinazopambana na...
  9. mr pipa

    Hatimaye matapeli umehamia Whatsapp

    Nimekaa nasoma JF, Mara text hizo kwa wasapu yangu angalia mwenyewe hizi screenshot
  10. King Jody

    Matapeli wamekuwa wengi tuwe makini ndugu zanguni

    Miezi kadhaa iliyopita kuna jamaa nilikutana nae kwenye mgahawa, alinifuata kwenye meza yangu wakati napata Kifungua kinywa, akaniambia anaomba nimsaidie chochote kwani mke wake amejifungua kwa operation na bado Yupo hospital hana msaada wowote. Kwa kifupi niliguswa na maneno yake...
  11. Zouzoutz

    Mashabiki wa Mamelod Sundowns wa hapa Bongo: Masandawana ni matapeli

    Mashabiki wengi wa kuazima wa Mamelodi wamelala usingizi wa mang'amung'amu hiyo Jana Hawakutegemea walichokiona,hawaamini macho Yao Waliloliwaza wiki nzima halijawa Wameishia kutoa mapovu ya sabuni ya mche ya komoa Wameanza kuwaita Masandawana ni matapeli 🤣🤣🤣🤣🤣
  12. Erythrocyte

    Jerry Silaa: Alex Msama ni tapeli namba 3 wa Viwanja, ajisalimishe

    Promota wa Tamasha la Pasaka, Mtangazaji wa vipindi vya kwaya na Mgombea wa nafasi mbalimbali za uongozi huko CCM, Bwana Alex Msama ametajwa kuwemo kwenye 3 bora ya Matapeli Papa wa Viwanja DSM. ==== Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amemtaka Mkurugenzi wa Msama...
  13. EP cosmetics

    Tuwe makini na matapeli wa "ile pesa tuma kwenye hii namba". Ni kama vile wanapata taarifa tunapofanya miamala

    Jana nimemaliza tu kuwasiliana na mtu kwa njia ya simu ya sauti na kunisisitiza pesa nimuwekee kwenye namba yake ya airtel. Nakata simu dakika moja mbele napokea hii text. Hii inaweza kuwa ni bahati mbaya kweli au hawa matapeli wana-pata mawasiliano yetu.
  14. A

    DOKEZO Kuweni makini na utapeli nimepigwa milioni na ushee, matapeli wanakuja na njia mpya kila siku

    Kuna njia ya hii ya utapeli ambapo mtu anatengeneza urafiki na wewe kupitia mtandaoni. Kadri siku zinavyoenda mnatengeneza ukaribu na ka imani kanaanza kukuingia kiasi fulani kuwa umepata rafiki mzuri kutoka nchi jirani japokuwa wakati mwingine inaweza kuwa hapa hapa bongo. Sasa akishaona...
  15. tpaul

    Nawachukia sana hawa matapeli wanaouza dawa mbele ya misikiti

    Kila baada ya swala ya Ijumaa utawakuta watu mbele ya misikiti wametundika tunguli, vibuyu na dawa wanazozinadi kuwa zinatibu maradhi mbalimbali ya binadamu. Mara nyingi wanaenda kwenye misikiti ya BAKWATA; ni nadra kuwakuta kwenye misikiti ya Sunni. Nimebaini hawa watu si waganga wala...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    Ni wakati sahihi kwa Serikali kuanzisha sheria za PreNup Kwa Wanaotaka kuingia kwenye Ndoa kupeusha matapeli

    NI WAKATI SAHIHI KWA SERIKALI KUANZISHA SHERIA ZA PRENUP KWA WANAOTAKA KUINGIA KWENYE NDOA KUEPUSHA MATAPELI. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli. Huwezi ukawa na sheria ya Talaka alafu muda huohuo isiwepo sheria ya PreNup. Huko ni kutengeneza mazingira ya utapeli, dhulma na kuifanya ndoa isiwe...
  17. Curtis De Mi Amor

    Ni kwanini makapenta (Mafundi Seremala) wengi wao ni matapeli?

    Habari za mchana na habari za jioni! Kuna fundi nilimpa Hela anitengenezee kitanda cha mbao za kenfa nilizozipata kwa shida. Yapata Sasa mwaka kitanda bado na Hela kala na mbao zangu Katengenezea kitanda kingine kauza 😡. Nimeenda kumshitaki kajitetea atanitengenezea kitanda kingine, ila...
  18. Poppy Hatonn

    Matapeli wa simu wamekuja na mbinu mpya

    Unatumiwa msg unaambiwa kama unahitaji mkopo jibu MAX kwenye hii msg halafu utapata mkopo was sh 3000. Ukijibu MAX unapata msg ambayo inasema umefanikiwa kupata mkopo. Halafu ukijaribu kuingia katika internet unashindwa. Line yangu ni ya TIGO. HII ni mara ya pili napata matatizo na TIGO...
  19. Restless Hustler

    Tujuzane mbinu wanazotumia matapeli kuwatapeli wafanyabiashara za miamala ya kifedha

    Tujuzane mbinu wanazotumia matapeli kuwatapeli/ Kuwaibia wafanyabiashara za miamala ya kifedha kama M-PESA, TigoPesa, Halopesa, Airtel Money nk. Naanza: Tapeli anakuja jioni anatoa Kaisi kikubwa Cha hela anaondoka, lengo ni ili awe na uhakika wa cashes ulizonazo. Kisha baada ya dakika chache...
  20. mangiTz

    TTCL ni mtandao unaotumiwa zaidi na matapeli

    Habari wana JF, TTCL kampuni ambayo ipo chini ya usimamizi wa serikali una changamoto ya kutumiwa zaidi na matapeli wanaojaribu kutapeli watu kupitia call/sms. Kampuni kama hii ambayo ipo chini ya serikali tungetarajia kubwa ingefanya vizuri zaidi kwasababu chombo kinachosimamia pia (TCRA) ni...
Back
Top Bottom