habari

  1. Carlos The Jackal

    Wizara ya Mambo ya Nje Kimya, Wizara ya Habari kimya, Hivi hamjui Kimataifa huko Tanzania inaonekana kuna "Civil unrest"?

    Mnamuacha Mpaka Mkuu wa Majeshi ndio Aongee?? Kweli ?? Kweli kabisa?. Tukisema hamjui majukum yenu na kwambaz vyeo vyenu ni matokeo ya Baba zenu ,tunakosea??.
  2. Street Hustler

    Wizara ya Habari na Taasisi mnaosimamia maudhui kwenye vyombo vya habari hasa radio & runinga hamlioni hili?

    Kiukweli Kama Ni mtu ambae unajitambua vizuri utakuwa umeshuhudia Mambo yasiyo na shaha au kusikiliza Mambo yasiyo na staha na ukashindwa kuelewa hv Kuna weledi umetumika vizuri kuanzia chombo husika mpaka wanaowasimamia. Usiku kwa nimejikuta nikisikiliza radio East Africa radio aisee sikujua...
  3. Lady Whistledown

    Cameroon: Waandishi wa Habari waomba ulinzi baada ya mwenzao kuuawa

    Ni kufuatia Mauaji ya Martinez Zogo, na mwili wake kutupwa Nje kidogo ya Mje Mkuu Yaoundè, Jan. 22, 2023 baada ya kutekwa nyara na watu wasiojulikana Siku chache kabla ya kifo chake, Mwandishi huyo aliyekuwa Mkosoaji wa Serikali, alikuwa ametishia kufichua Ufisadi Serikalini Shirika la kutetea...
  4. R

    Magazeti na vyombo vingi vya habari vimepotezea habari ya Lissu kurejea nchini

    Nasoma vichwa vya habari nakuangalia TV pamoja na kusikiliza radios; habari za Lissu wamezipotezea. You know what Gona happen wanampa popularity kwa msingi ule ule kwamba ametengwa na muhimili wa nne. Uchaguzi 2020 vyombo vyote vilisusa lakini wananchi awakususa. Mpaka pale tutakapokubali...
  5. Mystery

    Kwanini vyombo vya habari bado vinaripoti kwa 'machale' taarifa za vyama vya siasa vya upinzani?

    Ni wazi kuwa Rais wa awamu ya 6, Dkt Samia Suluhu Hassan, ameondoa zuio haramu za kufanyika shughuli za kisiasa za vyama vya upinzani na hivyo kurejesha ukuaji wa kidemokrasia Kwa vyama vya upinzan hapa nchini, ambao ulikuwa umeminywa Kwa kiasi kikubwa Kwa zaidi ya miaka 6 ya utawala wa awamu ya...
  6. Unavoidable Servant

    Ni brand gani ya haya majiko ya gesi ya plate mbili iko imara na ndio habari ya mjini kwa sasa?

    Wakuu JF ndio kila kitu, kabla ya kukurupuka kwenda shopping ni vyema ukipata muongozo JF. Nimenunuwa Mara mbili majiko makubwa West Point yenye plate mbili gase na plate mbili umeme chini oven lakini yote yamezinguwa, hili la Pili Sasa hivi halitowi moto wa blue linatowa moto kama koroboi na...
  7. J

    Gazeti la Nipashe lifungiwe baada ya Serikali kuchunguza habari hii

    Gazeti la Nipashe liliandika kwa kichwa cha habari kikubwa kuwa Watoto wafundishwa kulawitiana shuleni Watu wengi walishtuka lakini mimi Nilishikwa na wasiwasi kuhusu ukweli wa hii habari hasa ukizingatia gazeti hili lilikuwa nalijua kwa kuandika habari kwa mtindo wa "sensationalism", kwa...
  8. chizcom

    Kama kitu kinachekesha kwa nini mnatanguliza kichwa cha habari "Utacheka"

    Kiukweli Tanzania sijui tunaelekea wapi hakuna cha wasanii wala habari kule youtube. Yaani hawa wasanii wanaojiita wachekeshaji aka comedy wa Tanznaia. Unafungua YouTube ukiona tu page zao basi neno linatangulizwa "utacheka" sasa ucheke wakati sijaona kinacho chekesha. Msanii anaanza kucheka...
  9. G-Mdadisi

    TAMWA-Zanzibar yataka mabadiliko ya haraka sheria za habari Zanzibar

    ZANZIBAR CHAMA cha waandishi wa habari Wanawake Tanzania, Zanzibar (TAMWA-ZNZ) kimesema kuna haja ya taasisi husika za mabadiliko ya sheria kuweka kipaumbele kufanyiwa marekebisho yanayoendana na matakwa ya wadau katika sheria za habari Zanzibar ili zitoe mazingira ya uwepo wa uhuru wa vyombo...
  10. Fantastic boy

    Nafanya kazi ya simulizi karibuni

    Habari za muda huu ndugu zangu Naitwa elikana, ni kijana mwenye umri wa miaka 24 ninafanya kazi ya sanaa za simulizi kwa njia za sauti "Storyteller" pia nafanya "Voice over", "Dabin voice" pamoja na fact mbalimbali za maisha,mapenzi n.K ▪︎elimu yangu mimi ni kidato cha nne na sijasomea vitu...
  11. Shujaa Nduna

    Msaada namna ya kupata kitabu cha Henoko

    Naomba kwa wanaojuwa wanipe mwongozo wapi napata kitabu cha henoko?
  12. B

    Mwenezi wa CCM Ndg. Shaka na Mkutano mkubwa na Waandishi wa Habari Januari 12, 2023

    Katibu wa NEC- Itikadi na Uenezi wa CCM Ndugu Shaka Hamdu Shaka leo Jumamosi Januari 14, 2023 Saa 11 Jioni atakuwa na Mkutano na Waandishi wa Habari katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba Jijini Dar es Salaam. #CCMImetimia #KaziIendelee
  13. The Sheriff

    Anna Mwasyoke: Miaka 15 Katika Taaluma ya Uandishi wa Habari

    Hii ni simulizi ya miaka 15 ya maisha ya Anna Mwasyoke katika fani ya uandishi wa habari ambayo imetimia tarehe 02/01/2023. Mwasyoke, kupitia ukurasa wake wa Instagram, ameona ni vema kuushirikisha umma japo kwa ufupi kuhusu safari yake hii anayoieleza kuwa ni “nzuri na tamu isiyochosha" ili...
  14. Sildenafil Citrate

    Kila Mtu ana Haki ya Kujieleza na Kutoa Maoni

    Siku hizi Vifaa vyetu vya kielektroniki vimekuwa fursa kwetu kutoa maoni, kushiriki Mijadala na kutoa Hoja mbalimbali Mitandao ina nafasi muhimu katika kuhakikisha Watu wanabadilishana Mawazo na kupaza sauti zao Uhuru Wa Kujieleza na kutoa Maoni hulindwa na Katiba za Nchi nyingi Barani Afrika...
Back
Top Bottom