dkt. tulia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Spika wa Bunge, Dkt. Tulia asisitiza Wizara ya Ujenzi kuzingatia ubora kwa kutumia vifaa maalum kabla ya Makandarasi kuikabidhi kwa Serikali

    SPIKA wa Bunge, Dkt. Tulia Akson ameisisitiza Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) kuhakikisha miradi yote ya barabara inayokamilia inapimwa ubora kwa kutumia vifaa maalum kabla ya Makandarasi kuikabidhi kwa serikali. Dkt Tulia amesema hayo tarehe 27 Mei 2024 Bungeni Jijini...
  2. Roving Journalist

    Nape: Wanahabari wahamasishe wananchi kugombea nafasi mbalimbali uchaguzi wa Serikali za Mitaa bila kujali vyama vyao

    Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani (World Press Freedom Day) kwa Mwaka 2024 yanaendelea Jijini Dodoma, leo Mei 2, 2024. Spika wa Bunge la Tanzania - Tulia Ackson ndiye mgeni rasmi kwenye maadhimisho hayo yanayofanyika kwenye Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre...
  3. Mjanja M1

    Dkt. Tulia akosoa maandamano ya CHADEMA Mbeya

    Siku chache baada ya kufanyika kwa maandamano ya CHADEMA mkoani Mbeya, Mbunge wa jimbo la Mbeya mjini Dkt. Tulia Ackson (CCM) ametoa wito kwa wakazi wa Mbeya kuacha kuhangaika na maneno ya wanasiasa wasiowatakia mema kwa kuwa wakati uliopo sasa ni wa kupelekewa maendeleo na si maneno Dkt. Tulia...
  4. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Suma Fyandomo ampongeza Dkt. Tulia kwa ushindi IPU

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mbeya, Mhe. Suma Fyandomo ametoa pongezi kwa ushindi mnono alioupata Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson na kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) "Pongezi za dhati kwa Spika wa Bunge letu, Mhe. Dkt. Tulia Ackson kwa...
  5. Lord denning

    Hongera Dkt. Tulia. Sasa unatosha kuchukua kijiti 2030

    Nianze kwa kukupa pongezi kwa ushindi wako. Umeliwakilisha vyema taifa. Hongera sana Nimeangalia ulivyojinadi. Kusema kweli umeonesha uwezo wako kama mwanamke mahiri. Ujumbe wangu kwako Dkt Tulia- Jijenge vizuri kimataifa, jijenge vizuri kuijua Dunia na Siasa zake. Jipe muda kujifunza sana na...
  6. B

    Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson ziarani Morocco

    18 September 2023 Rabat, Morocco https://m.youtube.com/watch?v=nxCJ2dl-PN8 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na mwenyeji wake Spika wa Bunge la Morocco, Mhe. Rachid Talbi El Alami katika ofisi za Bunge hilo zilizopo...
  7. 1

    Dkt. Tulia ni msomi wa kweli wa sheria, namshauri Sugu aendelee na shughuli za kufoka foka

    Kwa wale tuliomfuatilia vzr leo bungeni kwenye hoja ya kupitisha azimio la bunge la kukubali makubaliano baina ya Tanzania vs Dubai watakabuliana na mimi kuwa mama huyu ni msomi hasa wa sheria. Kiukweli ukiwasikiliza akina Tundu Lissu wanaosifiwa kujua sheria ni upuuzi mtupu, daktari huyu ni...
  8. Dalton elijah

    Kwanini Dkt. Tulia anataka jimbo la Mbeya Mjini ligawanywe mara mbili?

    Mhe. Sophia Mwakagenda ameuliza swali la nyongeza Bungeni kutaka kujua ni lini Serikali italifanyia kazi suala la kugawa Jimbo la Mbeya Mjini kwa sababu ya ukubwa wa Jimbo hilo na wingi wa watu. Ombi la kugawanywa Jimbo la Mbeya Mjini lilitolewa na Mbunge wa Jimbo hilo ambaye pia ni Spika wa...
  9. JanguKamaJangu

    Dkt. Tulia ataka UVCCM kuacha vioja, wajibu hoja

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Tulia Ackson amewataka vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) kutumia nafasi zao kubishana kwa hoja na kuendelea kudumisha amani ,umoja na mshikamano hali itakayosaidia kuwalinda Viongozi wa taifa . Dkt.Tulia ameyasema hayo Jijini Dodoma...
  10. Analogia Malenga

    Spika Tulia: Mtu akimsema vibaya Rais nyooka naye

    Wakuu nawaletea kideo, spika wa bunge akiwataka vijana kushughulika na yeyote anayemsema vibaya Rais, Mbunge, Diwani au Mwenyekiti wa mtaa kwa tiketi ya CCM. Hivi karibuni kuna ndugu wa Temeke alisema wao kazi yao ni kuwashugulikia wakosoaji na wazee watawaombea radhi kwa watanzania. Sijui...
  11. Erythrocyte

    Spika Tulia Ackson ashauri itafutwe njia ya kuzuia mauaji yatokanayo na wivu wa mapenzi

    Mh Tulia Ackson ametoa ushauri huo ndani ya bunge analoliongoza , kwa hoja kwamba Taarifa za vifo zinazotangazwa kila kukicha na Jeshi la Polisi hazisaidii kupunguza mauaji , na badala yake zinasababisha mauaji kuongezeka zaidi. Bado haijafahamika hasa lengo la hoja yake hiyo. Bali ikumbukwe...
  12. Suley2019

    Spika Dkt. Tulia awatahadharisha Wenyeviti wa Kamati za kudumu za Bunge kutoshawishiwa na asasi za kiraia

    Spika wa Bunge la Tanzania, Dk Tulia Ackson amewataka wenyeviti wa kamati za kudumu za Bunge kuwa makini kuepuka kuingizwa kwenye mitego ya kudanganywa na asasi za kiraia zinapotaka ushawishi wa chombo hicho kupitisha ajenda fulani kwa utashi na maslahi yao. “Bunge huwa ni chombo ha ushawishi...
  13. comte

    Dkt. Tulia: Hakuna namna ya kuzuia watu kuamini kuwa Bunge limemezwa na Dola, lakini Bunge linafanywa kazi kwa mujibu wa Katiba, Sheria na Kanuni

    =========== Alichoongea Bungeni Tulia Ackson wakati akiomba kuchaguliwa kuwa spika wa bunge la Tanzania Jina langu naitwa Tulia Ackson, nami kama wagombea wengine nimekuja ili niombe ridhaa yenu waheshimiwa wabunge ili kuhahakisha taifa letu linapata maendeleo basi niwe nawaongoza halafuwote...
  14. Baraka Mina

    Dkt. Tulia Ackson apitishwa kwa kauli moja na Wabunge wa CCM kugombea uspika

    Kikao cha Kamati ya Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (party caucus) kilichofanyika leo tarehe 31 Januari 2022 chini ya Mwenyekiti wa Kamati hiyo Ndg. Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa na Waziri Mkuu wa JMT katika ukumbi wa White House Makao Makuu...
  15. econonist

    Dkt. Tulia anaenda kuliua Bunge kama atachaguliwa kuwa Spika

    Kwa maoni yangu kwa kauli ya jana ya Naibu Speaker Dr Tulia Ackson, ni kweli kama atachaguliwa kuwa speaker wa bunge bunge litakufa na kubaki kuwa kitengo cha ikulu. Kwanza, anadai Rais ana nguvu Sana. Ina maana hajui kuwa bunge lipo pale kwaajili ya kuangalia na kumchunga Rais asitumie nguvu...
  16. Analogia Malenga

    Wana-CCM wajitokeza kuchukua fomu ya kutia nia ya kuwania nafasi ya Spika wa Bunge la JMT. Yupo Dkt. Tulia na Masele

    Aliyewahi kuwa Makamu wa kwanza wa Rais katika Bunge la Afrika (PAP), Stephen Masele na Naibu Spika wa Bunge la Tanzania Dkt. Tulia Ackson wamechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea nafasi ya Spika wa Bunge la Tanzania Mtu mwingine aliyechukua fomu ni Patrick...
  17. Fundi Madirisha

    Ndungai na Dkt. Tulia hawaelewani? Kila moja anafanya yake

    Kama itakumbukwa kupitia walioitwa wabunge 19 wa CHADEMA baada ya kufukuzwa uanachama, kumetokea sintofahamu inayowachanganya watanzania kutokana kauli za viongozi hawa wawili Spika wa bunge na Naibu wake. Alisikika Naibu Spika akisema kua wabunge wale ni halali na kuwataka wabunge kuacha...
Back
Top Bottom