chief mkwawa

  1. zigi 01

    Ni vitu gani nizingatie nikiwa nanunua router kwa ajili ya matumizi ya ofisi kwa wastani wa watumiaji 300?

    Ni vitu gani nizingatie nikiwa nanunua router kwa ajili ya matumizi ya ofisi kwa wastani wa watumiaji 300? Naomba msaada ni jinsi gani naweza kuziona hizo specification.
  2. Elon Mzebuluni

    Gaming laptops brand ya Mechanical revolution (Mechrevo)

    Habari wakuu. Nilikua nazunguka mtandaoni kutafuta gaming laptop mpya. Katika kutafuta nilikutana na gaming laptops brand ya Mechrevo. Kilichonishangaza niliona kuwa zinaonekana kuwa bei nafuu zaidi kuliko laptops za brands nyingine zilizo na specifications sawa. Kuna mtu yeyote amesikia...
  3. Orketeemi

    Msaada wa changamoto hii ya kadi ya Azam TV

    Wakuu Nina king'amuzi kipya cha AZAM Card nikiweka naona maandishi " Smart card mute" Nawapigia Azam wako busy. Nifanye nini?
  4. Olsea

    Inawezekana kuondoa network lock kwenye iphone?

    Habari wadau, kuna simu ya iphone nataka niinunue kwa mtu kwa hela ndogo ipo network locked ila anaitumia kwa gevey sim, hivi gevey sim haina shida? Na je kama sitaki kutumia gevey inawezekana kui unlock? Asanteni sana.
  5. fredyyboy

    Ni Laptop (PC) gani nzuri naweza pata kwa budget ya laki 3?

    Kama kichwa hapo juu natamani sana maelezo ya moja kwa moja sio mzuri sana kwenye kuchagua kama unaona ushawahi pata mashine nzuri kwa hiyo budget unaweza share nasi nipo mbeya kwa mwenyeji itakuwa vizuri ukanipa location napata wapi mashine nzuri.
  6. Olsea

    Msaada tatizo la Tv

    Habari wakuu,natumia Tv aina ya Mr Uk juzi jioni nimerudi nyumbani nawasha Tv nakuta nusu ya juu kwenye screen ya Tv mwanga umefifia kidogo(japo mpaka mtu uwe makinj sana ndiyo utaweza kugundua)..je hili tatizo Itakuwa ni nini?na je ni jinsi gani ya kulitatua? Ukiangia hiyo picha niliyoweka hapa...
  7. Oranoo

    IMAGE RECOVERY

    Hello habari zenu,kuna simu yangu imeharibika haiwaki kabisa nahitaji kuzipata picha na documents zangu, naomba mnijuze njia ipi nitumie nizirudishe maana sikusave kwenye Google Drive.
  8. IBRA wa PILI

    Nataka kuagiza simu ali express

    Mambo vipi wakuu nataka kununua simu ya nokia 6.1 plus kutoka ali express ni refubrished kwa wale wataalamu hii kibongo inaweza piga kazi vizuri upande wa mtandao mawazo yenu tafadhali.
  9. Kimwerymdodo5

    Decryption Tools

    Habari za weekend wakuu... Juzi kati nilikumbwa na tatizo la virus kweny home desktop, ni malware ambao wanaencrypt files na hizo files to be inaccessible mpaka pale utakapo lipa kiasi fulan cha pesa (ransom) ili wakupe decryption tool na unique ID. Na files zote ambazo zimekuwa enrcypted...
  10. mwilawi

    Blackview tablets

    BLACKVIEW TABLETS Wakuu naomba kwa anaefahamu hizi tablets za blackview hasa blacview tab 9. hapa namaanisha ubora wake, durability yaan uimara, touch yake kama inadumu na mambo mengine.
  11. Umuzukuru

    Tujuzane kuhusu VPN za namna hii

    Habari za siku wanajamii Kama ilivyo kawaida ya jukwaa pendwa la teknolojia ambapo huwa tunaelekezana mambo mbalimbali yanayoendelea katika ulimwengu huu wa sayansi. Katika pitapita zangu kwenye kakimeo kangu ka tecno hatimae kuna sehemu nimekuta kuna setting yenye kusomeka VPN Na ukifungua...
  12. Umuzukuru

    Msaada wa App ya kurekodia video na clips kwenye simu

    Habari wadau wa Jf Wakuu nahitaji msaada wa Application ya kutumia kurekodia video na clips kwenye simu Nahitaji App ambayo kutakua na uwezekano wa kurekodi video ya dakika mbili ila ujazo wa mb uwe angalau mb10 kushuka chini Maana kwa kutumia video recorder ya simu aisee si mchezo video ya...
  13. Alex Gk

    Ninunue desktop computer yenye specifications gani ili baadae ni upgrade mwenyewe?

    Salamu sana kwenu JF experts na sisi wengine ma newbies. Najichanga bajeti alau niwe na around 350k hivi. Kwa sasa imebakia kidogo tu ili itimie hiyo bajeti. UHITAJI ni kwamba napenda kujifunza graphics hususani video editing na design mbalimbali kwa kutumia programs za Photoshop...
  14. dirtyboy

    Tatizo la Laptop kujizima yenyewe

    Habari za wakati huu wakuu Pc yangu imekumbwa na tatizo la kushindwa kuwaka. Nikibonyeza power button fen ina zunguka tu lakini screen haiwaki. Kabla ya hili tatizo ilikuwa inatabia ya kujizima nyenyewe, ila nikikaa baada ya mda nikiiwasha inawaka. Mwanzo nilijua tatizo ni betry nikanunua...
  15. Infantry Soldier

    Kulikuwa na uhalali gani kwa Chief Mkwawa kutambulika kama 'Shujaa?

    Habari za wakati huu ndugu zangu wa humu JamiiForums. Kulikuwa na uhalali gani wa Chief Mkwawa kutambulika kama "shujaa"? Kamwe hakuna askari anayeweza kuitwa shujaa kwa kuogopa adui kisha kujiua mwenyewe. Mbona Muamar Gadaffi wa Libya na Saddam Hussein wa Iraq hawakujiua kabla ya kukamatwa...
  16. Umuzukuru

    Technology gani hii

    Wakuu hapa nashindwa kuelewa kabisa Simu Ina internal memory 8gb Ram1gb Sasa haya mafile ya 61gb yalieneaje humu??
  17. Ndikwega

    TVs: Naomba Ufafanuzi wa haya Maneno

    Habarini Wanajamvi. Naomba Msaada wa Maana ya Specifications ya Maneno haya kwenye Hizi Screen za Kisasa (TVs). 1. Smart 2. Smart uhd 4k 3. Smart Android Uhd 4k Ahsanteni.Chief-Mkwawa mchango wako utanifaa Mkuu
  18. Olsea

    The disk is write protected

    Habarini wakuu, naomba kwa mwenye uelewa natoaje Write protected kwenye Flash?
  19. sam green

    Naomba msaada

    Habari wana JF, Mimi nina pc yangu kwa wale watalamu wa PC game za mpira kwa detail za PC yangu hii je naweza run pes 18 hata kwa low setting naomba wenye maujuzi wanambieee kuhusu hii.
  20. crusader_jr

    Namna ya ku-unlock mi account (Redmi note5-chinese rom)

    Wakuu habari na pole na majukumu kwa mara nyingine tena narudi kwenu kwa mafundi na wajuzi wa IT. Nna simu aina ya redmi note5 chinese rom yenye android ver.9 muiu10, iyo simu nlirestore kwa bahati mbaya na password za account ya mi cloud nimezisahau na pia namba ya simu nlotumia kutengenezea...
Back
Top Bottom