Elon Mzebuluni
JF-Expert Member
- Jan 22, 2016
- 207
- 114
Habari wakuu.
Nilikua nazunguka mtandaoni kutafuta gaming laptop mpya. Katika kutafuta nilikutana na gaming laptops brand ya Mechrevo.
Kilichonishangaza niliona kuwa zinaonekana kuwa bei nafuu zaidi kuliko laptops za brands nyingine zilizo na specifications sawa. Kuna mtu yeyote amesikia kuhusu brand hii ya gaming laptops za Mechanical revolution (Mechrevo) hapo awali (mimi sijasikia).
kuna mtu anaweza kunisaidia kutafiti kompyuta hizi za mkononi ili kuona kama ni nzuri au la? ubora , upataji moto wakati wa matumizi makubwa upoje, kwa mwenye uzoefu au aliyewahi kutumia brand hii naomba maelezo zaidi.
Sina uhakika wa kuziamini kwa sababu ni za bei nafuu na sijawahi kuzisikia hapo awali.
Gaming Laptops niliyokutana nayo ilikua na specifications zifuatazo kwa bei ya tsh 1.3M pamoja na shipping.
Processor: Ryzen 5 6600H
GPU: RTX4050 6GB
RAM: 16 GB DDR 5 4800 MHz
Storage: 512 GB SSD PCle 3.0
Screen size: 15.6" FHD 165HZ 100%SRGB