Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 30,782
- 40,029
Tafuta Lenovo Ryzen 2500U fb naziona as cheap as 290,000 ina nguvu mara 5 ya hio,350 mzee maana Lenovo Hizo Nimeona zinacheza hapo
Alafu hata fifa 19 inasukuma vizuri haigandigandi hata pes 2023
Fifa latest linalocheza bure ni Fifa 23 na halirun kwenye hio Gpu.