Blackview tablets

mwilawi

Senior Member
Oct 13, 2013
135
89
BLACKVIEW TABLETS
Wakuu naomba kwa anaefahamu hizi tablets za blackview hasa blacview tab 9. hapa namaanisha ubora wake, durability yaan uimara, touch yake kama inadumu na mambo mengine.
 
Black view sjawahi kutumia but ninavyoziona kweye madia wanazipa promo sana, hata simu zao bara la Asia wanazitumia sana na wanazisifu ziko poa yaani jiwe, inaonyeshea ziko poa ila sjawah kutumia coz nchi ninayoishi mpaka niagizie AliExpress.
 
Hapana Black view haitumiwi sana Asia na ni jamii tu ya kina Tecno.
 
BLACKVIEW TABLETS
Wakuu naomba kwa anaefahamu hizi tablets za blackview hasa blacview tab 9. hapa namaanisha ubora wake, durability yaan uimara, touch yake kama inadumu na mambo mengine.
Hio ni generic Chinese Tablet, usitegemee quality kuwa kubwa kivile. yapo makampuni kibao ya kichina na yasiyo ya Kichina unapata Tab nzuri, angalia soc ya snapdragon 662, utapata tab kama Samsung Tab 10.4, lenovo P11 etc.

Bei 400k mpaka 500k
 
Asante ukiniambia niangalie doc ya snapdragon 662 nashindwa namna ya kuangalia
 
Specification za Tablet, Google online kuona.
Chief msaada plz nna kinote 8 sumsung nowdeiz kufanya uptodate ya Apps yyte kinaload mda mrefu hada nakata tamaa na cancel,kuna baadhi ya huduma nilikuwa nafanya kupitia simu now imegoma naambiwa ni uptodate android system sielewi nafanyaje.
 
Ni note 8 simu? Umejaribu ku clear cache za playstore?
 
Back
Top Bottom