09/Mei/2024
Nilifanikiwa Kushiriki Katika Uzinduzi wa Kiwanda cha Malori Na Tipa, Kinachoitwa, "Saturn Corporation Limited", Kilichopo Wilaya Ya Kigamboni.
Mgeni Rasmi Katika Uzinduzi Huo wa Kiwanda, Alikuwa, Mheshimiwa Rais. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Ambaye Aliwaelekeza Wenye Kiwanda...
07. 05. 2024
Nilifanikiwa Kutembelea Ofisi Ya Afisa Mtendaji wa Kata Ya Kivule, Ili Kujua Mipango Ya Maendeleo Inayoendelea Kwenye Kata Ya Kivule, Pamoja Na Mipango Waliyonayo Katika Utatuaji wa Changamoto, Kwenye Kata Ya Kivule.
Katika Matembezi Haya, Niliweza Kujua Mipango Ya Maendeleo...
Nilifanikiwa Kutembelea Baadhi Ya Wananchi Wa Wilaya Ya Ilala, Kutoka Kata Ya Kivule, Ili Kujua Maendeleo Ya Wananchi wa Wilaya Yetu Ya Ilala.
Katika Matembezi Haya, Nilifanikiwa Kujua Mafanikio Yaliyofikiwa Na Serikali Ya Chama Cha Mapinduzi Kwa Wananchi Wake, Changamoto, Pamoja Na Mapendekezo...
Kulingana Na Historia Ndogo Kutoka Kwa Walimu Wetu wa Historia... Sikukuu Ya Wafanyakazi Ni Matunda Ya Mapinduzi Yaliyochochewa na Unyonywaji (Excessive Exploitation) Waliopitia Wafanyakazi Wakiwa Kazini, Mfano;
Kufanya Kazi Kwa Saa Nyingi Na Kulipwa Kidogo, Kufanya Kazi Katika Mazingira...
Mnamo Siku Ya Jana, Nilifanikiwa Kutembelea Ofisi Ya Mkuu wa Wilaya Ya Ilala, Mhe. Edward Jonas Mpogolo, Ili Kujua Machache Kuhusu Maendeleo Ya Wilaya Yetu Ya Ilala. Nilifanikiwa Kutambua Uendelezwaji na Uanzishwaji wa Miradi Mbalimbali Ya Wilaya Ya Ilala, Zikiwemo Shule, Vituo Vya Afya...
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar Ulisainiwa Tarehe 22. Aprili. 1964 Na Waasisi, Mwl. Julius K. Nyerere Na Sheikh. Abeid Amani Karume, Na Kupitishwa Na Bunge Tarehe 26. Aprili. 1964. Mnamo Tarehe 27. Aprili.1964, Viongozi wa Nchi Zote Mbili (Mwl. Julius K. Nyerere na Sheik. Abeid Amani Karume)...
Lengo La Wapinzani Wanaoipinga CCM (Chama Cha Mapinduzi) Ni Kuwapeleka Wananchi, Zanzibar, Kwa Hati Ya Kusafiria (Passport) 🚮
Huku Ni Kuwagawa Wananchi
Huku Ni Kupoteza Uhuru wa Wananchi
Huku Ni Kuwatesa Wananchi, Hasa Wafanyabiashara Wanaotegemea Kufuata Mizigo Yao Visiwani
Pia soma
Waziri...
Nichukue Nafasi Hii Kuwakaribisha Wananchi Walio Ndani na Nje Ya Nchi, Kuendelea Kujiunga Na Chama Cha Mapinduzi
Kuna Faida Kuwa Chama Cha Mapinduzi…
Miongoni Mwa Faida Hizo, Ni;
Kukujenga Kuwa Na Uwezo wa Kujiamini
Kukusaidia Kuongeza Ujuzi wa Akili na Vitendo, Kuhusu Mambo Mbalimbali...
Mnamo Oktoba 2023, Nilifanikiwa Kuhudhuria Mahafali Ya Kidato Cha Nne, Ya Shule Ya Upili, Zavara.
Katika Mahafali Haya, Mgeni Rasmi Alikuwa Mbunge wa Viti Maalumu Anayewakilisha Wafanyakazi, Mhe. Janejelly James Ntate, Ambaye Alihusia na Kuwatia Moyo Wanafunzi Waliohitimu Kidato Cha Nne...
Nilifanikiwa Kushiriki Kwenye Mapokezi Ya Ndege Mpya (Boeing 737 - Max 9) Ya Shirika La Air Tanzania (Air Tanzania Company Limited) Ambapo Mgeni Rasmi Katika Mapokezi Hayo Alikuwa Waziri Mkuu, Mheshimiwa Kassim Majaaliwa, Kwa Niaba Ya Mheshimiwa Rais. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Kutokana na...
Kupinga kila kitu siyo kujenga hoja wala si kushawishi umati, ila ni kufanya uchochezi ✍️
Jambo lingine, kwanini kutukana mnaita kupinga kwa hoja?
Kukejeli mnaita kupinga kwa hoja?
Kudhalilisha mnaita kupinga kwa hoja?
Mtu kuamini usichoamini, mnaita kukaririshwa?
Mtu kuwa CCM mnaita...
Kupitia Uongozi wa Viongozi Wetu, Tunajifunza Ushupavu na Hekima Kubwa Katika Kukabiliana na Mambo Ya Kijamii, Kitaifa, Kimataifa, na Mmoja mmoja.
Tunajifunza Kuwa Uongozi Ni Kuwa Mfano Pale Ambapo Hauna Mfano. Hujui Nini Ufanye. Hujui Vipi Ukabiliane
Tunajifunza Kuwa Uongozi Ni Kuwa Tayari...
Unaweza Ukawa Mgeni CCM Ila Usishindwe Kufahamu Kuwa Mheshimiwa Rais na Mwenyekiti wa CCM, Dkt. SSH, Ameitekeleza Ilani, Kwani;
1. Kaimarisha Demokrasia
2. Kazingatia Usawa wa Kijinsia
3. Kainua Sekta Ya Utalii
4. Ushirikiano Wake Kwenye Michezo Leo
Hii Tuna Timu Za Ndani Zinazofanya
Vizuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.