Janeth Thomson Mwambije
Member
- Apr 11, 2024
- 18
- 51
Mnamo Siku Ya Jana, Nilifanikiwa Kutembelea Ofisi Ya Mkuu wa Wilaya Ya Ilala, Mhe. Edward Jonas Mpogolo, Ili Kujua Machache Kuhusu Maendeleo Ya Wilaya Yetu Ya Ilala. Nilifanikiwa Kutambua Uendelezwaji na Uanzishwaji wa Miradi Mbalimbali Ya Wilaya Ya Ilala, Zikiwemo Shule, Vituo Vya Afya, Hospitali, Barabara, Miradi Ya Maji, Umeme, Masoko, Na Kadhalika, Ambayo Pia, Ni Utekelezwaji wa Ilani Ya Chama Cha Mapinduzi.
Lakini Pia, Nilifanikiwa Kujua Mipango Mipya Inayotegemewa Kuanzishwa Na Serikali Ya Chama Cha Mapinduzi, Kwenye Awamu Ijayo, Ikiwemo;
Ulikuwa Wakati Mzuri.
#KaziIendelee 🇹🇿
Lakini Pia, Nilifanikiwa Kujua Mipango Mipya Inayotegemewa Kuanzishwa Na Serikali Ya Chama Cha Mapinduzi, Kwenye Awamu Ijayo, Ikiwemo;
- Ujenzi wa Barabara Ya Juu "Fly Over", Kutoka Barabara Ya Jangwani Kwenda Magomeni
- Ujenzi wa Barabara Za DMDP
- Awamu Mpya Ya Ujenzi wa Barabara Ya Mwendokasi, Utaoanzia Gongo La Mboto - Chanika - Msongola
- Ujenzi wa Masoko
- Ujenzi wa Shule Zingine Za Kiingereza (English Medium)
- Uendelezwaji wa Ujenzi wa Shule Zingine Za Sekondari (Ordinary Level), Na Za Sekondari Ya Juu (Advanced Level),
- Na Mipango Mingine Kadhalika…
Ulikuwa Wakati Mzuri.
#KaziIendelee 🇹🇿