Wapinzani wana nia ya kuwagawa wananchi suala la Muungano

Apr 11, 2024
19
52
Lengo La Wapinzani Wanaoipinga CCM (Chama Cha Mapinduzi) Ni Kuwapeleka Wananchi, Zanzibar, Kwa Hati Ya Kusafiria (Passport) 🚮
  • Huku Ni Kuwagawa Wananchi
  • Huku Ni Kupoteza Uhuru wa Wananchi
  • Huku Ni Kuwatesa Wananchi, Hasa Wafanyabiashara Wanaotegemea Kufuata Mizigo Yao Visiwani
Pia soma
06BE1DCA-51A3-4A90-AF22-3B63F2693C98.jpeg
 
Uwe unasoma na kujiridhisha kabla hujapost kitu. Huyo ni mbunge wa Zanzibar ACT Wazalendo ambao kwa Zanzibar wapo kwenye serikali ya mseto na CCM kwa hivyo sio wapinzani kwa Zanzibar.
 
Nikienda zanzibar nikabeba hata tv tu ya zawadi bandarini mtihani, nivushe gari ndio mama yangu wee tabu tupu, lakini nikienda dodoma hapo au kule kigoma sipati tabu, raha ya muungano iwapi?

Wengine wanadai mbara huwezi kumiliki ardhi kule kizembe kama tunavyojinunulia huku, dar una kibanda, pwani una shamba, tabora una kibanda
Sasa inakuwaje hii ikaitwa nchi moja!!
Eti unguja na pemba ni mikoa ya tanzania 😂🤣
 
Badala ya kujadili hoja ya muungano unakuja na UJINGA wako juu wapinzani, wazanzibar kwenye suala la muungano wanakuwa wamoja wakiwemo CCM.
Mtaficha KERO za muungano Hadi lini? Itafika kipindi watadai Kwa nguvu nchi Yao sijui mtajificha wapi na upuuzi wenu !!!
 
Lengo La Wapinzani Wanaoipinga CCM (Chama Cha Mapinduzi) Ni Kuwapeleka Wananchi, Zanzibar, Kwa Hati Ya Kusafiria (Passport) 🚮
  • Huku Ni Kuwagawa Wananchi
  • Huku Ni Kupoteza Uhuru wa Wananchi
  • Huku Ni Kuwatesa Wananchi, Hasa Wafanyabiashara Wanaotegemea Kufuata Mizigo Yao Visiwani
Pia soma
View attachment 2973323
Walioweka Zanzibar na Tanzania(!) Ndani ya muungano ndio wanaowagawa wananchi.
 
Back
Top Bottom