Search results

  1. G

    Mara ya kwanza kupima ukimwi

    Wasaalam! Leo imekuwa siku yangu ya kwanza tangia nizaliwe kupima ukimwi! Na kupata majibu! Aisee roho kidogo iache mwili! Nakumbuka Kuna siku nilinunua kipimo nikajipima Geto! Lakini kuangalia majibu ikawa ni ngum! Nikaamua nijifunge kitambaa usoni nikakafata kakipo bila kuona nikakafulashi...
  2. G

    Wadada/Wamama Wanene.

    .
  3. G

    Kutoka kuwa Warehouse Supervisor Hadi kuwa Casual Labour.

    Dah haya maisha jamani!... Sahvi nafanya ucasual labor hapa Mgodini. Nasimamiwa kama Manamba! Ama kweli kua uyaone! Kwahio hii degree yangu imeniangusha? Ni huzuni kwakweli.
  4. G

    Ambao tushawahi kamatwa na polisi tukiwa Gulioni tukutane hapa

    Wakuu Habari!. Nakumbuka ilikuwa Mwaka 2016 Niko Dodoma! Nilipendelea sana kununua madada poa mitaa ya uhindini hapo. Basi bwana Nikiwa Mimi na jamaa angu tukiwa tunachagua bidhaa ya kuondoka nayo, Mara paap Polisi hao hapo! Tulikimbia wee lakini tuliishia kukamatwa. Tukatiwa kwenye Tenga...
  5. G

    Kujichukua sheria mkononi

    Wakuu Salaam? Baada ya kujichukulia sheria mkononi tangia nikiwa form 3 mwaka 2009 hatimae mwaka huu nimefanikiwa kumaliza mwezi bila kujichukulia sheria mkononi. Njia niliyoitumia ni baada ya kusoma Uzi wa ndugu Mshana Jr kuwa ukiogea chumvi ya mawe kwa siku Saba mfululizo roho ya chafu ya...
  6. G

    Kumi na moja bila kuchomoa

    Wakuu salaam. Nimekutana na jamaa hapa ananiambia ashawahi kupiga goli kumi na moja kwa usiku mmoja. Hii kitu inawezekana kweli? Kuna mtu ambaye ashawahi fikisha? Nawasilisha.
  7. G

    Mwenye kufahamu/Matumizi ya hii dawa naomba msaada

    Wakuu kwema? Mwenye kufahamu/Matumizi ya hii dawa naomba msaada. Nawasilisha. Wako Mtiifu, Gwego.
  8. G

    Mke anahitajika

    Wakuu Salaam. Baada ya kuanzisha Uzi wa kutafta mwanamke ambaye anaweza kupga jembe(kulima) nimekosa hata mmoja wa kuja PM. Sasa imenibdi nibadlishe vigezo sahivi natafta mwanamke yoyote anayepumua tu! Akiwa mkoa wa Geita au karibu na hapo itakuwa poa sana. Natanguliza shukrani za dhati...
  9. G

    Harakati zangu za kunifanya kuchelewa kufika mshindo

    Wakuu habari. Hizi ni baadhi ya njia ambazo nishawahi tumia Ili nichelewe kufika mshindo. 1) Kupiga puli kabla Dem hajafika. 2) Kutumia Erecto. HAIFAI HII KABISA. 3) Kupaka Mkongo(Vumbi la Kongo) 4) Kutumia Panadol+Energy. 5) Pombe Kali (K Vant au Konyagi) 6) Mkongolaa. 7)Kuvaa kondom za...
  10. G

    Yamenikuta! Msaada Tafadhali...

    Habari wakuu. Katika kupiga story juzi kati kijiweni ikaibuka story ya kuwa ukifanya mapenzi na mwanamke akatunia kitambaa chake kukufutia na kwenda nacho anaweza kukuloga. Ambacho anatakiwa kufanya nikuchukua kile kitambaa alichokufutia na kukiweka chini ya mtungi! Then mzigo hausimami labda...
  11. G

    Wanaume siku hizi tumekuwa kama Jogoo

    Wasaalam. Jogoo humpanda tetea ndani ya sekunde mbili anakuwa ashamaliza kazi. Asilimia kubwa ya sisi wanaume naona tushakuwa kama Jogoo ndani ya sekunde Tano tunakuwa tushamaliza. Wale tunaotumia sekunde chache kama kuku tukutane hapa tupeane mbinu za kuondoa hili tatizo. Nawasilisha.
  12. G

    Ilikuwaje ukaingia kwenye uraibu wa kupiga punyeto?

    Wakuu kwema? Nakumbuka ilikuwa 2010 nikiwa kidato cha tatu baada ya kutoka prepo tulikuwa tunaenda saa nne kulala. Bwenini tulikuwa tunakaa watu nane wanne chini na juu watu wanne pia. Basi bhana mida ya saa sita nilibanwa kwenda kukojoa nilivyosituka nikasikia jamaa tuliekuwa tunakaa karibu...
  13. G

    Baadhi ya wazazi wa kisukuma wanawafunga mabinti zao wasiweze kufanya mapenzi siku ambazo wanaweza pata mimba

    Salaam! Nimekaa hapa nimekumbka kisa kilichonikuta siku za nyuma kidogo. Iko hivi katika harakati zangu za pimbi nilikutana na binti mdogo tu miaka 19 mitaa hii ya wasukuma. Nikaomba namba nikapewe tukawa tunawasiliana na mwishoe tukawa wapenzi! Na katika maongezi yetu kama wapenzi alinambia...
  14. G

    Mzigo wako mbona umekuwa mdogo?

    Wasaalam! Kutokana na kuwa jobless kulana ndio imekuwa sehemu ya kupunguzia mawazo. Leo ikanibidi nimtafte X wangu mmoja angalau tupashe kiporo, tukapanga mida ya saa 10 atakuja geto tufanye yetu. Shetani hakuniangusha saa 10 katimba geto tukaanza kufanya yetu katikati ya mchezo akanambia...
  15. G

    Natembea nimevaa Barakoa

    Wakuu Salaam!. Juzi nikiwa nimemaliza dozi ya UTI nikasema ngoja nijipe pole kwa kujivinjari na mpenzi wangu. Katika kujivinjari akaniomba nizame uvinza na mimi bila hiana nikazama, Tukafanya ya kufanya mpaka mwisho. Sasa Leo nimeamka mdomoni kwa pembeni kukiwa na upele wa kutosha,Now...
  16. G

    Siku yangu ya kwanza kwenda kwa mganga

    Wakuu Salaam! Nianze kwa kuelezea historia yangu fupi ilonipelekea nikamtafta mganga Ili aweze kunikwamua na magum nayo pitia. Mwaka jana mwezi 12 nilifukuzwa kazi ikanibdi nirudishe mpila kwapani na kurudi nje ya mji ambapo nilikuwa nimennua kiwanja! Nikaamua kujenga chumba na seble Cha chap...
  17. G

    Nimeyakanyaga kwa mke wa mtu

    Wakuu habari. Wiki mbili nyuma katika pita pita zangu nilifanikiwa kukutana na mrembo wa kinyarwanda ambaye ni alikuwa jirani yangu zamani kidogo na pia ni mke wa mtu. Ambaye tulipiga story mbili tatu na mwishowe tukabadilishana namba!. Badae kilichofatia tukakubaliana tuonane na...
Back
Top Bottom